Recent content by Masscom

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kupunguza fuel consumption

    Swali langu dogo sana, kama siyo kunywa mafuta ulitaka linywe mchemsho? Hizi mambo ulitakiwa kuzijua kabla hata hujanunua hilo jini
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Uchukuzi atoa ufafanuzi kuhusu ndege mpya na ujenzi wa reli ya Dar-Mwanza

    Kwa hiyo zinatumia mchemsho?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    Mbona nyie mnatupigia sana kelele na maspika ya misikitini hatusemi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dereva chukua tahadhari kwa sasa

    Pale Interchick kuna kibao kinachokuamuru kwenda 50kmph, kama hukukiona ni uzembe wako na hustahili kuwa dereva. Nakushauri fanya safari ndefu kwenda mikoa ya bara ndo utajua vizuri matumizi ya hivyo vibao TODAYS
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mlima Kitonga vs Mlima Sekenke, upi mkali?

    Sekenke ulipita lini mara ya mwisho? Sekenke ya sasa hata ma-learner wanapita bila hata kujua kuwa wamepita sekenke
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Miaka 30, bado unakaa home au kwa ndugu bila sababu za msingi

    Hii mada imewagusa wengi sana na wengi wa wanaoshabikia kuendelea kukaa nyumbani bila sababu ya msingi ni Mario watarajiwa na kwa Dar watoto wengi wa Kinondoni, Kijitonyama na Sinza ndo wana tabia hii. Mbaya zaidi analeta na demu kabisa hadi kwao na wazazi wanamuangalia tu mfyuuu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Manufaa ya kujiendeleza kielimu kwa watumishi wa umma hapa Tanzania

    Kwani lazima ufanye kazi serikalini tu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania wapi ninunue TV Box Dar

    Zinapatika mkuu, me nilininua Kariakoo kwenye duka la vifaa vya radio hasa za magari, na nilinunua kwa 45k nilikuwa natumia ila toka walipositisha analogy wakaweka digital nikashindwa kupata decoder na antena au kidish kwa matumizi niliyokuwa nayo. Kama vp njoo inbox
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nauza ticket nliyipia ya fast-jet 04 Jul na kurudi 07 July Kilimanjaro

    Haiwezekani kwa sababu hazibadilishwi jina, imekula kwako hiyo!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Video: Ukweli wa kutisha kuhusu malaya wa Uwanja wa Fisi

    Very sad documentary!
  11. M

    JamiiForums Tanzania SWALI: Mkoa gani Tanzania ni mzuri kwa kuishi?

    Nenda visiwa vya ukerewe kuna kitongojibkinaitwa ukara mkoa wa Mwanza.
  12. M

    JamiiForums Tanzania 'Mizigo' hii ilikuwa haikutajwa na Kinana na Nape

    Mbona buku 7 fc siwaoni leo?
  13. M

    JamiiForums Tanzania naomba ushauri kwa hili

    Usithubutu kabisa, wanatumia compounding interest method kama sijakosea ukikopa mil 3 unaweza ukalipa mil 6 au 7 kwa hiyo miaka mitatu. Hao jamaa ni wezi sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sugua kisigino wa Twanga Pepeta

    Nakushukuru sana ndugu yangu, siku njema!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sugua kisigino wa Twanga Pepeta

    Sijui ni album gani ndo maana nikauliza
Back
Top Bottom