Recent content by massawe7

  1. M

    Lowasa ukikanyanga Arumeru----ukikanyaga Arumeru------

    Jf please kuna virangi vya icons watu tuna aleji navyo si muweke rangi za maanaaa lirangi la kijani nani anataka ona kama hako ka online member kamekaa kama rosti tamu la azizi ona na haka si mnatuchefua sisi wengine wekeni mavitu ya maana bana
  2. M

    Lowasa ukikanyanga Arumeru----ukikanyaga Arumeru------

    Si yuko fiti kwa mapambano.....na aende azione rangi
  3. M

    Anahitajika afisa masoko haraka/ sales and marketing oficial

    tumieni massawe7@yahoo.com kampuni iko Arusha ni KEENFEEDERS LTD wazalishaji na wasambazaji wa pembejeo za kilimo na mifugo
  4. M

    Anahitajika afisa masoko haraka/ sales and marketing oficial

    Kampuni ya uzalishaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo na vyakula vya mifugo; tunahitaji afisa masoko na mauzo kama unaweza na unaelimu hiyo weka mawasiliano yako hapa
  5. M

    Anahitajika afisa masoko haraka/ sales and marketing oficial

    Kampuni inajihusisha na uzalishaji wa pembejeo za kilimo navyakula vya mifugo, tunahitaji mtu wa mauzo kama unaweza kufanya kazi hiyo weka mawasiliano yako hapa
  6. M

    Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

    hakuna ukweli hapo nadhani ni pre-compain za ccm hizo
  7. M

    Tumbo kuunguruma, nini tatizo

    Nina tatizo sugu la tumbo kunguruma na kujisikia haja kubwa kila mara, je kuna anayejua tiba ama tiba mbadala sababu nimetumia dawa nyingi za hospitali bila mafanikio
  8. M

    tiba cancer ya mifupa

    wakuu, baba mzazi wa rafiki yangu anaugua cancer ya mifupa kwa muda sasa, familia wamempeleka ocean road naomba kuuliza kwa wanaojua tiba au dawa za kumsaidia atujuze
  9. M

    minyoo kwa watoto wadogo

    kwa wenye kufaamu ni umri gani hasa mtoto mdogo anapaswa kupewa dawa za minyoo tafadhali nijulishe
  10. M

    Tatizo la kukosa hamu ya kula kwa mtoto mdogo miaka 8

    wakuu ukweli mtoto wangu mwenye umri wa miaka 8 ana tatizo kubwa la kuto kula na hii inatusumbua sana sisi wazazi wake wakuu naomba ushauri ama mwenye kujua tiba atujuze.nawasilisha
Back
Top Bottom