tiba cancer ya mifupa

massawe7

Member
Oct 28, 2011
10
1
wakuu, baba mzazi wa rafiki yangu anaugua cancer ya mifupa kwa muda sasa, familia wamempeleka ocean road naomba kuuliza kwa wanaojua tiba au dawa za kumsaidia atujuze
 
Back
Top Bottom