minyoo kwa watoto wadogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

minyoo kwa watoto wadogo

Discussion in 'JF Doctor' started by massawe7, Jan 19, 2012.

 1. m

  massawe7 Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa wenye kufaamu ni umri gani hasa mtoto mdogo anapaswa kupewa dawa za minyoo tafadhali nijulishe
   
 2. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kama ni kwa ajili ya kinga,anapewa akifikisha mwaka mmoja.
  Dawa zinazotumika zaidi tz:
  Albendazole 200mg mara moja tu kwa < 2 yr.
  AU
  Albendazole 400mg mara moja tu kwa 2+ yrs.
  AU
  Mebendazole 500mg mara moja tu kwa 1+ yr.

  Kama ni kwa ajili ya tiba,mtoto aliethibitika kuwa na minyoo atibiwe katika umri wowote kwa kuzingatia umri na dawa ifaayo kwa minyoo aliyonayo.
   
 3. K

  Kilimakyaro New Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maelezo yenye manufaa haya.
   
 4. N

  Njala Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika haya ni maelezo ya kitalaam sana
   
 5. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Thanx Mkuu!
   
 6. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Ahsante Mkuu Njala !
   
Loading...