Tumbo kuunguruma, nini tatizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumbo kuunguruma, nini tatizo

Discussion in 'JF Doctor' started by Misosi, Nov 2, 2010.

 1. M

  Misosi Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Wadau naomba msaada wenu, tumbo langu linaunguruma sana hadi nakosa amani, halafu nikienda haja sipati kitu na pia shemu ya chini ya tumbo na kiuno nahisi maumivu,na tumbo linakuwa kama limejaa gesi. ni nini tatizo?? na nini dawa yake? ahsanteni wandugu.
   
 2. C

  CLAY KITUMBOY Senior Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ni mwanamke au mwanamme?
   
 3. M

  Misosi Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Mwanamume Mkuu!
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  minyoo hiyo kula dawa ya minyoo
   
 5. l

  lily JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  njaaaaaaa tafuta ugali wa nguvu
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Tumbo kuunguruma ni gesi ipo tumboni inaonyesha unakaa muda mrefu bila ya kula ndio maana tumbo lako linakuwa lianunguruma kwa mshindo. lakini sio madhara basi hiyo inakukera wee. Jambo la pili ni kwa kutopata haja kubwa inategemea ulaji wako wa chakula jaribu kubadilisha

  mlo wako wa kila siku usipendele kula chakula cha aina moja kila siku. Jambo la tatu ni kuwa hiyo sehemu ya chini ya tumbo na kiuno unasikia maumivu hiyo ni dalili ya ugonjwa aidha Bawasiri kwa kiingereza inaitwa Hemorrhoids ( Hemorrhoids (bawasir) -
  HulChul.NET
  ) Nakushauri nenda kamuone Daktari atakupa dawa itakayo weza kukusaidia .

  [​IMG]

  angalia unapokwenda haja kubwa ukimaliza jiangalie kwa kutumia kioo weka chini unaweza kuona kinyama kimetokeza sehemu yako ya siri,ujuwe kuwa una maradhi hayo ya Bawasiri au kwa jina lingine Futuru kikundu ( ( Hemorrhoids ) ukikiona hicho kikundu nenda upesi kamuone Daktari akufanyie Oparesheni ya kukiondowa hicho kikundu asante.
   
 7. M

  Misosi Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  nashukuru sana mkuu. Ntafanyia kazi ushauri wako. Ahsante
   
 8. k

  kasyabone tall JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 13, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 33
  Mkuu, Kwa nchi zetu hizi hasa matatizo ya tumbo yanatokana na vitu tunavyokula na maji tunayokunywa. Mimi nataka nikushauri tu ndugu yangu. Dalili zako ni tumbo kujaa gesi, kuunguruma na kwenda haja kidogo tena yenye vitu kama makamasi, kama ni hivyo bila shaka utakuwa na Amoeba. Ameoba watu wengi sana wanaishi nao na kufikiri kuwa ni tatizo la kawaida, huwa tunawapata kutoka kwa maji tunayokunjwa. Sasa kama unaweza kamuone Daktari lakini pia kama huna uwezo tafuta dawa ya amoeba na utapona kabisa. natambua kuwa hali hii inakosesha raha sana, unaweza kuwa na hamu ya kula na ukitaka kula unakuta tumbo limejaa gesi. Fanya hivyo hali itarejea safi.Asante
   
 9. k

  kasyabone tall JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 13, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 33
  Mkuu, utakuwa na tatizo la kuvamiwa na amoeba. Dalili zake ni tumbo kujaa gesi na kuunguruma, kutoa haja kidogo inayoambatana na vitu kama makamasi na hewa. Kwa huku katika tropical hili ni tatizo sana. Sasa kama utaweza muone daktari lakini unaweza kutafuta dawa ya amoeba na ukatumia na kuwa shwari kabisa. Hali hii najua kuwa inakosesha raha sana, kwani unaweza kutamani kula na unapotaka kula unakuta tumbo limejaa gesi.

  Amoebiasis is an infection in the bowel, particularly the colon, characterized by diarrhea. This infection can be fatal in infant and to older people with low resistance. The main risk is due to dehydration from the loss of fluid.
  Symptoms of Amoebiasis :

  • Abdominal pain with an urge to go to the bathroom frequently.
  • Fever and diarrhea which frequently accompanied with blood and/or mucous discharge.
  • Sometimes diarrhea alternates with bouts of constipation, with one occurring for several days, followed by the other.
  • When diarrhea becomes yellow containing neither mucous nor blood but is foamy, this is known as Giardia, an illness brought on by different type of microscopic parasite. When you have fever and bloody diarrhea, the infection is not caused by amoebas, but by bacteria and it is called Shigella.
  Causes of Amoebiasis :

  • Both the bacterial and amoebic form of dysentery are usually spread by food or water that is contaminated with fecal matter of infected individual.
  • Tropical climate favors the spread of disease because of the abundance of insects that act as carriers of the disease causing organisms.


  Recommended Treatment for Amoebiasis :

  • Take generous amount of Garlic and Bee propolis for 10 to 15 days, or more if necessary. Garlic and Bee propolis are both potent natural antibiotic.
  • Drink lots of fluid or hydrating liquid.
  If you suffer from Shigella and other bacterial infections, the same treatment is recommended.
  Sometimes amoebas can pass into the liver and cause hepatic abscesses(forming pockets of pus), which manifest themselves through pain on the right side of the stomach or chest. It also causes pain when walking.
  Nakushauri upate dawa za kutibu Amoeba. Kama utapenda nikuambie dawa yake nitumie private message nitakujibu haraka sana bila malipo.
   
 10. M

  Misosi Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  NASHUKURU MKUU, NIMESHAKUTUMIA PM. Ahsante sana kwa ushauri.
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Ngiri au nguruwe!!
   
 12. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,544
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  labda una kula bila kupangilia muda yaani huna muda maalum wa kula au unakula huku unakunwa maji muda huo huo. hata mimi nilikuwa natatizo hilo mkuu ila sasa hivi limekacha. embujaribu kuweka time ya kula , kama ni saa saba usiwe unapitiliza paka saa kumi na usinywe maji hadi nusu saa ipite baada ya kupiga msosi.
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  oooohhh realy.. mimi sina matatizo ya tumbo lakini muda wa kula siupangiliagi kabisa.. kuanzia asubuhi mpaka kwenye saa tisa nakula nikipata muda.. lakini jioni lazima nikae chini nipumzike nile vizuri.... :smile:
   
 14. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #14
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,544
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180


  fanyia kazi alafu uangalie kama tatizo litaendelea
   
 15. M

  Misosi Member

  #15
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Nashukuru Mkuu ntafanyia kazi hasa hili la maji ila kwa upande wa muda wa ula kwa kweli muda wangu upo fixed sana sbb kila siku saa sita kamili nakula lunch saa kumi na mbili kamili napata dinner na hunywa maji immediately baada ya kula labda hapa ndipo nakosea. Thanks
   
 16. m

  massawe7 Member

  #16
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina tatizo sugu la tumbo kunguruma na kujisikia haja kubwa kila mara, je kuna anayejua tiba ama tiba mbadala sababu nimetumia dawa nyingi za hospital bila mafanikio
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Dalili za Amoeba na upungufu wa nguvu za kiume,tiba subiri mzizimkavu
   
 18. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  umekunywa maji ya moshi ambayo tumezoea kukinga tu kwenye bomba na kuendelea,pia pale moshi zile mboga mboga zinazouzwa mjini pale wanatumia ngao (dawa ya kupuliza mbu) ktk kukuzia mboga2 mashambani.acha kabisa kula ovyo

  kwa sasa wewe unasumbuliwa na gesi nyingi sana tumboni.

  CHA KUFANYA............nenda kapime choo ktk hospitali zinazoeleweka, usitumie dawa za gesi,kwani gesi ni matokeo ya constipation

  ..................................nenda pale mombasa stoo mjini moshi karibu na NMB mandela.au watafute wamasai

  huna tatizo la nguvu za kiume kama huyo kiungo cha kujisaidia alivo comment hapo juu...nin hiyo gesi tu labda yeye ndio chakula/shoga.
   
 19. rifwima

  rifwima JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Dawa yake ni kunya tu. Mara tano kwa kutwa kwa mda wa mwezi mzima tatizo lako litakoma kabisa. Huna tatizo ila umejaza haja kubwa tumboni. Acha uzembe wa kutokwenda toilet.
   
 20. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #20
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Hivi uwezi kumjibu kwa busara ? Waswahili wanasema Mungu siyo Athumani. Nawe unaweza ukapatwa na gonjwa baya zaidi kuliko huyu unayemdhihaki. Chunga ulimi wako!
   
Loading...