Recent content by Masoud Mwakoba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku niliposhuhudia rafiki yangu akimezwa na chatu

    Siku ikifika haina zuio,hapo hakuna cha upumbavu!pole sana kwa kumpoteza rafiki yako
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

    Girl friend
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Kamanda James Kombe afariki dunia

    Mungu amuweke kulingana na matendo yake aliyoyatenda hapa duniani
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa miezi 6 kwa waziri wa Elimu kujiuzulu....Vinginevyo itamtimua kwa nguvu

    Fara tu huyo,asilete habari za kibwege------------------------zake!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko ya Makatibu Wakuu wa Wizara

    Kupotezeana muda tu,hayo yote ni yaleyale magarasa,hakuna jipya hapo
  6. M

    JamiiForums Tanzania muumini na padri

    Umejitahidi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kesho nataka kuwaamini POLISI, nani anipe muongozo?

    Mohamediii hapa nimesimama ndani ya daladala lakini imeniaidi nipige saluti huku gari inatembea! Saluuuuti mkuu!wewe mubayaaaaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili; kweli mbowe ana upeo mdogo sana!

    Wewe uliyeandika hii maada ndo hujielewi,hv hata huyo msajili wa vyama kama atafuta chama chenye viongoz weng waliochaguliwa huoni kama ni kihiyo?mbona ccm kimevunja sheria nyingi tu,kwanin hakifutwi?ukitaka kuandika kitu humu kwanza jipange!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aripoti tena Polisi (Makao Makuu); Ashikilia Msimamo Kutowapa Ushahidi

    Watamuweza wapi huyo?polisi wenyewe njaa tupu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutake tusitake CCM imeazimia kutuandikia katiba itakayo

    Hii ndo tz bwana,ipo siku watatokea M24 na hapo ndo kitasomeka
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama ya kwenu mnayaficha mtawezaje kukosoa wengine? hizi kashfa zote mbona hakuna TAMKO??

    unaonekana una matatizo ya akili,hv wewe ni nesi?mchumba wa lwakatare au?maana unajua mambo ambayo hata sísi hatuyajui,umetumwa na magamba wenzio nin?kaoge
  12. M

    JamiiForums Tanzania Roho mbaya

    Asilimia 90 ya watu wenye roho mbaya husababishwa na vyakula,hapa nina maana kwamba watu wengi wenye roho mbaya ni kwa sababu chakula kwao wanaona ni kitu cha maana zaidi kuliko kitu kingine chochote! Hii imekaaje wadau?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Choo kisicho na maji

    Shida inakuja pale ambapo wewe ni mgeni,mwenyeji uliyemtembelea nyumbani kwake kuna tabia ya kutoka na maji ndani ukiwa unahitaji kwenda chooni,hii namaanisha kwamba chooni huwa hakuwekwi maji
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kingamuzi cha Bakhresaa...!!

    Acha uzumbukuku ndugu,mbona watu wananunua king'amuzi cha AGAPE(TING)
Back
Top Bottom