Recent content by masonzo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu sita vyazuiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka 2016/2017

    Hplc Haya bwana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Mzunguko wa hela, faida na hasara

    Great economical analysis Ahsante nadhani sasa tuko kwenye right track Kama mbinu za uchumi za awamu zilizopita hazikusaidia twende na hizi basi Ahsante mkuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi atumbiliwa kimyakimya kwa madai si kada wa CCM

    Gazeti uchwara
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua mpango wa ugawaji wa madawati kwa Majimbo mbalimbali nchini

    Safi sana Jembe au bulldozer limeingia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma yazingirwa, BAVICHA wawindwa

    Watu waongo jamani full propaganda. Mimi nipo Dodoma si kweli kinachoelezwa hali shwari kabisa na sijaelewa Dodoma ipi inaongelewa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa akiwafunda Mameya wa UKAWA

    Haya sasa chenyewe si kikao hao wanaojiita bavicha mbona hawajakizuia na wala polisi hawajazuia Mimi si mwanasiasa lakini siasa za ulaghai za ovyo sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu anateua Makada wa chama kwenye Ukuu wa Wilaya na Mikoa kufanya siasa kwa mgongo wa serikali

    Hebu rudia tena kusoma maana hujaeleweka kabisa kiswahili chako Unamaanisha wanaccm hawana vigezo au hoja ni nini
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi tunaomba CV za wateuliwa wote kuanzia Ukuu wa Wilaya,Wakurugenzi,Ma DAS

    Anza kutoa ya kwako kwanza tuione
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati/wanasheria na wazalendo mko wapi uteuzi nafasi za Ma-DAS?

    Hivi nikumbusheni wakurugenzi katika mashirika mbalimbali ni watumishi wa umma Katika awamu zilizopita tulisikia huyu aliacha kazi yake nchi Fulani kuja kutumikia taifa je mchakato huo ulikuwa unakidhi matakwa ya Utumishi wa umma Aachwe Jpm ateue watu anaowaamini ili nchi isonge mbele
  10. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ajenge CCM upya

    Ujumbe murua kabisa uliotolewa kwa hekima ya hali ya juu Namtakia kheri mtarajiwa mwenyekiti utendaji uliotukuka kama ambavyo anaendelea kulitumikia taifa kwa uadilifu wa hali ya juu na ni imani yangu kuwa atafanya hivyo kwa kuwatumikia watanzania wanachama wa Ccm Nawatakia kikao chenye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa mchana wa leo alijikuta akisimamishwa na wanachi waishio mpakani mwa Kenya na Tanzania

    Walisomea Sanaa!!! Si ajabu kutengeneza Kitu kama hicho
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa mchana wa leo alijikuta akisimamishwa na wanachi waishio mpakani mwa Kenya na Tanzania

    Kuna wengine walisomea sana!!!!!!! Si ajabu kutokea hayo maana unasema kasimamishwa baadae ndio inakuwaje sasa?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali/TRA yazitaka Benki kutopandisha viwango vya tozo/ VAT katika miamala yake

    Kabla kulikua na tozo hapo Mimi nimesikiliza wameendelea kusema mlaji wa mwisho hapaswi kuongezewa mzigo wewe unapotosha Hata km utawala huutaki lakini uwe mkweli si kupotosha tena
  14. M

    JamiiForums Tanzania Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Fikiria mtu anakopa pesa kwako kwanini akirudisha unadai riba. Sisi tunaweka pesa zetu benki na wanazifanyia biashara kwanini wasitoe riba? Badala yake wanatukata
  15. M

    JamiiForums Tanzania Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Hivi si bank zilitakiwa kuwa zinatoa riba kwa mteja anapoweka pesa bank maana pesa yake mabenki yanaifanyia biashara. Kwanini bongo tunakatwa pesa na benki. Nchi nyingine hakuna makato ya kila mwezi. Wasomi wetu waliopewa dhamana ndio wanayatetea mabenki sijui kwanini?
Back
Top Bottom