Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,633
- 2,297
Katibu Mkuu kiongozi kama Mtendaji Mkuu wa Serikali kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi wa umma tunaomba watuwekee CV za wateuliwa wote hasa ngazi ya Ukuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Ma DAS kwenye database ya CV za viongozi wa umma na sifa zao ili wananchi wenye kutafuta CV zao iwe rahisi kuwapata. Mfano(umri wao, elimu, status). Hii itakuwa inamrahisishia Mheshimiwa Rais kufanya teuzi mbalimbali pale atakapokuwa anafanya mabadiliko madogo kwenye ngazi hizo zilizotajwa.
Nawasilisha ushauri uzingatiwe.
Nawasilisha ushauri uzingatiwe.