Mkuu anateua Makada wa chama kwenye Ukuu wa Wilaya na Mikoa kufanya siasa kwa mgongo wa serikali

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Kama mnavyoona Watanzania wenzangu hii ni mbinu ya Mkuu kufanya siasa, na ushahidi upo ,

Simnawaona wakuu wa wilaya na mikoa wanavyotembea na vyombo vya HABARI?

Simnaona kila MKUU wa Wilaya na Mikoa wanavyopiga marufuku Mikutano ya Siasa kwenye sehemu zao?

Na niaambia, Hawa ndio watakuwa wahombea wa Ubunge na Udiwa kwenye hayo maeneo waliyopangiwa , kataeni au kbalini lakini HABARI ndio hiyo.

Hii Nchi inaendeshwa kwa Katiba ya CCM sio ya Nchi inayo ruhusu Uhuru wa kujieleza,

Harafu napenda kumwambia MKUU sii kumshairi maana huyu sio rahisi kumshauri, ile kauli yako ya kusema sasa tunafanya kazi Siasa mpaka 2020 sio ya kiafa ni ya Kichama, kwanini nasema ni ya kichama? Huwezi kumwambia MTU wa Chama kingine abacho hakijashinda uchaguzi kufanya kazi unataka qafanye kazi gani?

Wao kazi yao no Siasa kwahiyo usiwazuie

Asante.
 
Siyo kibaraka tena ni ndondocha a.k.a Msukule

Hebu rudia tena kusoma maana hujaeleweka kabisa kiswahili chako
Unamaanisha wanaccm hawana vigezo au hoja ni nini
 
Kama mnavyoona Watanzania wenzangu hii ni mbinu ya Mkuu kufanya siasa, na ushahidi upo ,

Simnawaona wakuu wa wilaya na mikoa wanavyotembea na vyombo vya HABARI?

Simnaona kila MKUU wa Wilaya na Mikoa wanavyopiga marufuku Mikutano ya Siasa kwenye sehemu zao?

Na niaambia, Hawa ndio watakuwa wahombea wa Ubunge na Udiwa kwenye hayo maeneo waliyopangiwa , kataeni au kbalini lakini HABARI ndio hiyo.

Hii Nchi inaendeshwa kwa Katiba ya CCM sio ya Nchi inayo ruhusu Uhuru wa kujieleza,

Harafu napenda kumwambia MKUU sii kumshairi maana huyu sio rahisi kumshauri, ile kauli yako ya kusema sasa tunafanya kazi Siasa mpaka 2020 sio ya kiafa ni ya Kichama, kwanini nasema ni ya kichama? Huwezi kumwambia MTU wa Chama kingine abacho hakijashinda uchaguzi kufanya kazi unataka qafanye kazi gani?

Wao kazi yao no Siasa kwahiyo usiwazuie

Asante.

Kila Chama kilikua kinanadi ilani yake ya uchaguzi wakati wa kampeni. Na ilani maana yake Ni Yale Chama kitakayo yatekeleza endapo kitapewa ridhaa ya kuongoza Dola. Chama kilichoshinda uchaguzi 2015 Ni CCM. Inashangaza sana kusikia watu wakilalamika pale ilani ya CCM inapotekelezwa. Na hawezi kutekelezwa Kwa kuwateuwa watu wa Chama kingine. Hii siyo serikali ya mseto...
 
Yaani kasuku ukimletea neno jipya tu...tayari anaanza kuliimba kutwa ....kesho ukimletea jingine hivyo hivyo analiimba tena
Hapa kazi tu. Hakuna siasa hadi 2020. Tuiache serikali ifanye kazi.

Unajua hayo maneno yanaimbwa na kasuku wa rangi gani?
 
Mtaisoma namba hadi 2025 CHADEMA itakuwa imeshafutika so sad!!
 
Back
Top Bottom