Recent content by masomi_

  1. M

    Wanawake tafuteni hela zenu ni raha sana

    Umeongea kweli my dear tutafute hela tuwe matajiri lakini tusiolewe na wanaume maskini
  2. M

    Maswali ya kuudhi - Umeoa? Umeolewa? Unao/olewa lini? Una watoto wangapi?

    Umeongea vzuri dada Ayo maswali yanakera Sana au unakuta umeamua zako kupungua mtu anakuuliza mbona umekonda ivyo unaumwa? Yan Kuna watu hawajui kabisa kucommunicate
  3. M

    Ongezeko la wanawake kutoa harufu sehemu za siri

    Iyo kutoa harufu kali sehemu za siri inasababishwa na P.I.D sikuhizi imekua shida kwa wadada wengi pamoja na fungus sugu Aya magonjwa yanasababishwa na kutoa mimba Mara kwa Mara, kutumia dawa za antibiotics Sana haya madawa ya kuzuia mimba pia namna ya kujisafisha wasichana wengi wanadhani...
  4. M

    Naomba kufahamishwa kuhusu gharama za maisha ndani ya Jiji la Tanga

    Tanga labda uende Kama muajiriwa ukienda kutafuta maisha sio good idea kabisa
  5. M

    Kutana na kijana Issa Haruna, mke wake na mwanae

    Ana mapepo huyo haiwezekani mtu ale ivyo
  6. M

    Dalili gani zinakujulisha kuwa umri umesogea?

    Skuizi shkamoo zimekua nyingi pia watoto nliowaona wanakua wakiwa wadogo wengine nimewabeba kabisa leo wamekua wakubwa wadada na wakaka
  7. M

    Dalili gani zinakujulisha kuwa umri umesogea?

    Babaangu [emoji38][emoji38]
  8. M

    Niliahidi kumkopesha Ex, sijampa/sitompa namtesa tu

    Uyo dada na yeye sijui ni shida ndo zimemzidi Sana mpaka anashindwa kutumia akili au ni Nini mi nkikuomba hela Mara moja ukiniambia utanipa siku flani ata iyo siku ikifika sikukumbushi na assume Kama usingekuwepo ningefanyaje Mimi huwezi kunichezea huu mchezo nna jeuri
  9. M

    Ulijuaje mpenzi wako anaku-cheat, na kwanini?

    Hii ya U.T.I ilikua sababu pekee au kulikua na sababu nyingne kwa sababu nnavyojua Kuna watu wanakua na U.T.I sugu inajirudia Mara kwa Mara
  10. M

    Huwa unafanya nini unapojisikia bored au una stress?

    Nikiwa na stress naskiliza music pia natoka naenda kwenye movie theater ama sehemu nzuri nakaa tu
  11. M

    Kwa wauzaji wa simu, vyombo na bidhaa za electronics Tanzania

    Habarini wakuu Wafanyabiashara wote wa electronics au bidhaa za vyombo kutoka mkoa wowote Tanzania kindly pm me tufanye biashara
  12. M

    Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

    Haha kumbe na wewe uliliona hili mapema mi saiv ndo nashtuka mbona simu zile zile Yan infinix Mungu anawaona
  13. M

    Mpenzi wako anakuvutia akivaa vipi?

    Mimi huwa sivai suruali navaa sketi na gauni tu but napata wapenzi wanaopenda msichana anaevaa suruali na nakereka haswaa
  14. M

    Mama yangu ana matatizo sana, anavuruga familia yetu

    Kuna mawili hapo kwa mama yako either ni mchawi au Ana matatizo ya akili ameathirika kipsychologia kutokana maybe kipndi unazaliwa alikua kwenye ugomvi mkubwa na baba yako ndo maana anakuchukia na hata ujitahidi kumridhisha vp bado hawezi kukupenda Wala kuona thamani yako wewe deal na Bibi yako
  15. M

    Msaada: Simu yangu haidownload mafaili kupitia play Store

    Nenda play store clear data then nenda Google play services pia clear data then jaribu Tena
Back
Top Bottom