Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,060
- Thread starter
- #21
Mim nna Ego ya hal ya juu.huwa sirudiag demu hata ajilete vp...naweza hata ingia nae room na nisimfanye chochote.mi jeur mkuu ohooo....Kama una madem wakali na bado unamuongelea X ni kwamba bado unampenda, usitese nafsi yako Mkuu. RUDI nyumbani kumenoga
Halaf nikwambie kitu..kumsahau mtu mliekua pa1 mnashare kila kitu had mswak ni kujidanganya..so ni kwel namkumbuka nayeye ananikumbuka vile vile


