Recent content by Masodas

  1. Masodas

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Mo Dewji alikuwa na Microchip iliyokuwa ikirekodi kila kitu na kutuma London Uingereza. CIA wanachunguza kimya kimya

    Yani kwa sasa hata sisi std7 wanashidwa kutudanganya?
  2. Masodas

    JamiiForums Tanzania Geita: Marufuku mtumishi wa umma kuvaa suti. Utavaa siku akija Rais au uwe mgeni rasmi tu

    Kuna aliyekulazimisha kuwa mtumishi? Samahani kwa swali hili
  3. Masodas

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA : Manabii wanaouza maji na mafuta yaliyoombewa…

    Usiendelee ishia hapo hapo anzisha uzi wako
  4. Masodas

    JamiiForums Tanzania Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

    We si baba swalehee?utakumbukwa tuu Usiwaze
  5. Masodas

    JamiiForums Tanzania Kwa umati huu wa wananchi kwa CHADEMA kuhitimisha kampeni za ubunge Jimbo la Ukonga ni dhihirisho la kuchokwa kwa CCM nchini

    Unataka niwe Chadema? nimesema sina chama na sitakaa kushabikia chama chochote kile
  6. Masodas

    JamiiForums Tanzania Kwa umati huu wa wananchi kwa CHADEMA kuhitimisha kampeni za ubunge Jimbo la Ukonga ni dhihirisho la kuchokwa kwa CCM nchini

    Nimeelewa sehemu moja katika uzi wa mtoa mada, Chama tawala tendeni haki kwa makundi yote ya kijamii bila kujali matabaka,mwisho wa kunukuu Upendo haulazimishwi bali upendo hushawishiwa ila binafsi sina chama
  7. Masodas

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumpeleka mtoto mdogo shule za bweni

    Swali zuri
  8. Masodas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napata shida mwenzenu nishaurini

    Fatilia kati ya wanaume na wanawake ni wepi wengi harafu uje ulalame hapa . Kiushauri tu unataka hadi akwambie kuwa mtafutie mke mwezie Dawa ongeza mke atafurahi
  9. Masodas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napata shida mwenzenu nishaurini

    Fatilia kati ya wanaume na wanawake ni wepi wengi harafu uje ulalame hapa . Kiushauri tu unataka hadi akwambie kuwa mtafutie mke mwezie Dawa ongeza mke atafurahi
  10. Masodas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume wa Dar wamenishangaza kwa hili

    Hivi kutoka Masasi walikupa lifti? Haiwezekani utoke zako huko ukafikie maskani pa watoto wa mama wanaosubilia ugari kwa mama zao Hebu jiongeze ingia kitaani kajichanganye wewe acha ulofa
  11. Masodas

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuendela kua maskini

    Tunaongezea nyama Uzi 11:Endelea kuwachukia matajiri 12:Endelea kuwasema waliofanikiwa ni masoc 13:Endelea kusubilia hela ya peshen ya babaako Mengine wataongezea wengine
  12. Masodas

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumpeleka mtoto mdogo shule za bweni

    Binafsi nikifika nyumbani bila kuwaona wanangu nakosa amani kabisa,sasa najiuliza hawa wanao wapeleka huko hivi nyumba inakuwaje? Binafsi siwezi kuwa mbali na wanangu
  13. Masodas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kupima ukimwi au magonjwa mengine ya zinaa ilikuwa lini?

    Swali zuri sana [emoji122] [emoji122]
  14. Masodas

    JamiiForums Tanzania Dart kuna mgomo abira wamejaa Magomeni, Morocco kila kituo kama kuna msiba

    Ila mikoani kuna rahaa zake hizi shida zote za nini?ndiomaana mimi nikimaliza shughuli zangu mapema sana nadandia daladala hakuna longolongo najichagulia na siti naenda kuutuliza gest hizi shida zote za nini za kuanza kudandia mabega ya watu
  15. Masodas

    JamiiForums Tanzania Wastaafu wengi hufilisiwa wa watoto wao

    Tuma namba ya simu nikutumie vocha Umeongea maneno ya maana sana [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Back
Top Bottom