Recent content by Masingiri

  1. Masingiri

    Dada zetu wanaohudumu kwenye Bar wanaishije kwa Tsh. 30,000 kwa mwezi?

    Wanaishi kwa tip na kudanga na kuwaongezea walevi masifuri mbele
  2. Masingiri

    Waliokupigania leo unawaona hawana maana?

    Ni dhahiri Makamba anakomolewa kwa kuponzwa na babaake na Bashe analipwa fadhila ya kumtetea Jiwe. Nchi inaongozwa kwa hisia za mtu binafsi!!? CCM imepoteza dira kwakweli, na chama kitafia mikononi mwa bwana huyu!
  3. Masingiri

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    kuna maneno nayakumbuka kwenye bibilia pale Yesu alipoambiwa anatoa pepo kwa njia ya pepo (shetani) Yesu alijibu "ukiona pepo anamtoa pepo mwenzake basi ujue ufalme huo uko karibu kutoweka lkn kwakuwa mimi natoa pepo kwa njia ya Baba aliyenituma basi ujue ufalme wa Mungu umekaribia. nimetafakari
  4. Masingiri

    January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

    Mwaka huu tutaona mengi
  5. Masingiri

    paid online survey

    Nazo sijua ni hzo kama kuna wadau wanajua watuambie humu
  6. Masingiri

    paid online survey

    Kwenye playstore inamuonekano huo afrisight
  7. Masingiri

    Hodi humu

    Mimi ni mwanachama mpya humu
  8. Masingiri

    paid online survey

    Hawa pesa yao ni ndogo sana
  9. Masingiri

    KWA HUDUMA YA UFUNGAJI WA CCTV CAMERA,GATE AUTOMATION,BIOMETRIC FINGER PRINT ,PBX

    Kwa huduma kama hzo tucheki na pia tunauza camera kwa bei rahisi zenye ubora wa hali ya juu napatikana kwa 0675866156
  10. Masingiri

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Hii ni kweli
Back
Top Bottom