paid online survey

emmarki

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
682
913
kwa ukuaji wa mtandao duniani, makampuni mengi hutumia nyanja mbalimbali ili kutangaza na kupata maoni ya wateja kuhusu bidhaa au huduma wanayoitoa.
kuna makampuni yanaendesha zoezi la kukusanya data kwa walaji kwa njia ya kufanya survey fupi kuhusu bidhaa fulani.
kwa kila survey unayofanya kuna malipo either kwa mfumo wa kupewa airtime, gift cards, kulipwa pesa kupitia pay pal.
mi nimefanya na GEOPOLL ya kenya MOBIWOX, hawa wanatoa 5000 kama muda wa maongezi.
Kama kuna nyingine unazozifahamu unaweza share.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom