Recent content by masinde81

  1. masinde81

    JamiiForums Tanzania GSM ni kampuni ya nani? Ina nguvu kiasi gani kwenye siasa za Tanzania?

    kweli kabisa....vipi kuhusu SILVER SAND na SILENT mkuu...???...mbona azipo apo..??
  2. masinde81

    JamiiForums Tanzania GSM ni kampuni ya nani? Ina nguvu kiasi gani kwenye siasa za Tanzania?

    yule anaitwa “SAID”...ni moja kati ya ma top boss.... GSM-means:- G-garib S-said M-mohamed... na pia kuna FSM...ya mdogo wake na garib....yeye anaitwa FAHAD
  3. masinde81

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuomba kujengewa msikiti na uwanja wa mpira wakati Kagera watu hawana makazi

    na uwanja wa mpira je......?????
  4. masinde81

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuomba kujengewa msikiti na uwanja wa mpira wakati Kagera watu hawana makazi

    mimi nafikili kama kuomba msaada ni afadhali kumuomba mtu ambaye alitutawala kabla atujapata uhuru....
  5. masinde81

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnayotufanyia wake za watu kwenye Daladala Mungu anawaona

    jamani punguzeni bas ukali wa maneno..
  6. masinde81

    JamiiForums Tanzania Unapoambiwa "Old is gold" usibishe, ingia ucheze ngoma

    naskia hadithi za abunuwasi...vitabu vyake vilipigwa marufuku....sujui ni kweli cuz sina uhakika....
  7. masinde81

    JamiiForums Tanzania Unapoambiwa "Old is gold" usibishe, ingia ucheze ngoma

    inaitwa SIKUELEWI
  8. masinde81

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnayotufanyia wake za watu kwenye Daladala Mungu anawaona

    daah...uyo mkaka nilikua mm....unajua iyo chura yako ilinizuzua sana...nashukuru leo tumekutana hapa... ni PM bas namba yako ya simu.....
  9. masinde81

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari aina ya Toyota Funcargo

    bei ipo juu mno....funcargo....????
  10. masinde81

    JamiiForums Tanzania Top 10 ya wachezaji wanaoongoza kwa mauzo ya jezi England.....kweli Man-U noma

    TOP10: Wachezaji wanaoongoza kwa mauzo ya jezi England msimu wa 2016/2017: List ya mastaa 10 wa soka wa Ligi Kuu England ambao wanaongoza katika list ya mastaa wa EPL wanofanya vizuri katika mauzo ya jezi, list hiyo imeongozwa na kiungo wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea klabu ya Man United...
  11. masinde81

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiswahili kinaliangamiza taifa

    nakuunga mkono 100%...
  12. masinde81

    JamiiForums Tanzania Herufi tatu (3) tu!

    bia
  13. masinde81

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Epuka wizi huu

    asante kwa kutujuza.....mkuu
  14. masinde81

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kutuchafua, tupeni raha

    jamani monicca.....ni uyo tu...mbona wengine tuko fiti balaa....!!!
  15. masinde81

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu shape ya Dunia

    sina elimu sana juu ya hayo mambo.....ila hoja zako nimezielewa....
Back
Top Bottom