Kiswahili kinaliangamiza taifa

Alitumia Kiswahili ili iwe rahisi kuwaonganisha watu ambacho kwa wakati huo ndio ilikuwa Lugha ya kwanza inayozungumzwa na wengi hivyo akaamua iwe ndio Lugha ya Taifa japo alikuwa na Ubavu wa kukitangaza Kizanaki au Kihaya kiwe ndio Lugha ya Taifa.

Kiingereza sio muhimu kukifahamu ila ni vizuri kukifahamu.
 
Mawazo mgando. Mbona nchi nyingi hazitumii kiingereza na wamepiga hatua kubwa kimaendeleo hata kushinda wanaotumia kiingereza? Tatizo lako ni inferiority complex. Pole sana.
Kuna nchi ambazo walikuwa na teknolojia zao toka mwanzo hzo ndo maana zmeendelea hata kama hawatumii kiingereza,ila sis ntegemez ilipaswa tutumie lugha ya kiingereza ili tusipate shida
 
Kama ndivyo basi Uganda wangekuwa ndo superpower hapa East Africa!! By the way, wale akina Awilo, Kanda Bongoman, Pepe Kale, Amitabh Bachchan, Aamir Khan na wengine ambao walikuwa wanawabamba na wanaendelea kuwabamba; nao walikuwa wanatumia Kiingereza?

In short, sisi ni maskini kwa sababu hatujui chanzo cha umaskini wetu ni nini!!
India ni nchi ambayo inajitosheleza kwa vtu vingi,alafu wakongo wanatumia kifaransa lugha ambayo inatumika sehemu nying pia ufaransa ni nchi iliyokuwa na uwezo wa kiteknolojia
 
Kwahiyo wewe na Watanzania wenzako walikuwa wanadata na akina Amitabh Bachchan kwa kuwa India ni nchi inayojitosheleza na hali kadhalika mlikuwa mnadatishwa na akina Pepe Kalle kwa kuwa wanatumia Kifaransa?!
 
Alitumia Kiswahili ili iwe rahisi kuwaonganisha watu ambacho kwa wakati huo ndio ilikuwa Lugha ya kwanza inayozungumzwa na wengi hivyo akaamua iwe ndio Lugha ya Taifa japo alikuwa na Ubavu wa kukitangaza Kizanaki au Kihaya kiwe ndio Lugha ya Taifa.

Kiingereza sio muhimu kukifahamu ila ni vizuri kukifahamu.
Aisee,kwasasa ni cha muhimu sana mno,yaan kama hukjui ni sawa na asiye jua kusoma
 
japani,china,korea,germany,france,russia,saudi arabia,turkey hawa wote hawatumii kiingereza ila wako juu kiuchumi
 
Kwahiyo wewe na Watanzania wenzako walikuwa wanadata na akina Amitabh Bachchan kwa kuwa India ni nchi inayojitosheleza na hali kadhalika mlikuwa mnadatishwa na akina Pepe Kalle kwa kuwa wanatumia Kifaransa?!
Nchi ya kama ya india inauwezo wa kutengeneza vtu wanavyovhitaj wakna Amitabh tena vkiwa kwa lugha ya kihindi lakin sisi nchi hii hata kibiriti knatoka nje sasa bila kiingereza ni bure,utashindwa kubonyeza hata remote
 
Nimekutajia wasanii na sio watengeneza bidhaa manake unastaajaishwa kuona Diamond anafanya vizuri! By the way, what about Uganda ambao ndo watumiaji wakubwa wa lugha ya malkia?
 
Dah!,hapo sasa sijui kwann jamaa wako kama sisi,ila kiingereza bhana nazan kama tungekuwa tunakitumia nazan kuna mambo yangeenda vizur
 
Baba wa taifa yeye alisoma kwa kiingereza akasoma na akakijua,kwanini baada ya kupata madaraka akamua lugha ya kiswahili iwe ya kufundishia na iwe ya taifa,kwanini? Au hakutaka sisi wengine tusiifahamu lugha hiyo,basi hata ingekuwa ndo lugha rasmi ya taifa lakini ya kufundishia ingebaki lugha ya kiingereza.

kiswahili ndio chanzo cha umasikini tanzania kwani kuna vijana wengi wamekosa kazi kwa kushindwa kuzungumza kiingereza vizuri.
na hata hawa wasanii wetu wataimba mno sana lakini mwisho wa siku hawatafika mbali sana,ingawaje diamond ananishangaza,huyu jamaa angekuwa na uwezo wa kuchanganya kalugha kama V MONEY angefika mbali sana.

USHAURI:Naomba serikali ifanye lugha ya kufundishia iwe ya kiingereza toka chekechea mpaka elimu ya juu.

Hii ndiyo moja kati ya upotoshaji mkubwa sana nchi hii, Mlm.Nyerere pmj na mengi aliyoyafanya lkn siyo aliyeamua kwamba lugha ya Taifa iwe Kiswahili, au labda nisema siye sababu ya kwa nini sisi tunaongea Kiswahili, bali Kiswahili kilikuwa kinatumika kama Lugha ya mawasiliano na ya Taifa pia tangu ukoloni, Wakoloni wote kuanzia Wajerumani mpaka Waingereza walitumia na walikikubali Kiswahili, hivyo siyo Nyerere aliyefanya TZ tuongee Kiswahili hapana, ila ana mchango wake na hata kama angetaka tuongee Kiingereza asingeweza kwa maana Kiswahili tayari ilikuwa ni lingua franca hapa kwetu kwa miaka mingi sana, mizizi ya Kiswahili TZ ni mirefu sana kiasi kwamba hauwezi kuiondoa!

Hivyo wewe kama maisha yamekushinda badilisha kozi jaribu kufanya kitu kingine au hata kuimba Dimond ametoka kwa kuimba kwa Kiswahili , hivyo acha kusingizia lugha kwa kushindwa kwako maisha!
 
Baba wa taifa yeye alisoma kwa kiingereza akasoma na akakijua,kwanini baada ya kupata madaraka akaamua lugha ya kiswahili iwe ya kufundishia na iwe ya taifa,kwanini? Au hakutaka sisi wengine tusiifahamu lugha hiyo,basi hata ingekuwa ndo lugha rasmi ya taifa lakini ya kufundishia ingebaki lugha ya kiingereza.

Kiswahili ndio chanzo cha umasikini Tanzania kwani kuna vijana wengi wamekosa kazi kwa kushindwa kuzungumza kiingereza vizuri.
na hata hawa wasanii wetu wataimba mno sana lakini mwisho wa siku hawatafika mbali sana,ingawaje diamond ananishangaza,huyu jamaa angekuwa na uwezo wa kuchanganya kalugha kama V MONEY angefika mbali sana.

USHAURI: Naomba serikali ifanye lugha ya kufundishia iwe ya kiingereza toka chekechea mpaka elimu ya juu.
nakuunga mkono 100%...
 
Aliamua tutumie Kiswahili kama lugha ya Taifa ili kuleta umoja na mshikamano miongoni mwa Watanzania. Umoja na mshikamano wa kitaifa ambao sasa unavurugwa na mashetani wa Ikulu.
 
Hii ndiyo moja kati ya upotoshaji mkubwa sana nchi hii, Mlm.Nyerere pmj na mengi aliyoyafanya lkn siyo aliyeamua kwamba lugha ya Taifa iwe Kiswahili, au labda nisema siye sababu ya kwa nini sisi tunaongea Kiswahili, bali Kiswahili kilikuwa kinatumika kama Lugha ya mawasiliano na ya Taifa pia tangu ukoloni, Wakoloni wote kuanzia Wajerumani mpaka Waingereza walitumia na walikikubali Kiswahili, hivyo siyo Nyerere aliyefanya TZ tuongee Kiswahili hapana, ila ana mchango wake na hata kama angetaka tuongee Kiingereza asingeweza kwa maana Kiswahili tayari ilikuwa ni lingua franca hapa kwetu kwa miaka mingi sana, mizizi ya Kiswahili TZ ni mirefu sana kiasi kwamba hauwezi kuiondoa!

Hivyo wewe kama maisha yamekushinda badilisha kozi jaribu kufanya kitu kingine au hata kuimba Dimond ametoka kwa kuimba kwa Kiswahili , hivyo acha kusingizia lugha kwa kushindwa kwako maisha!
sawa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom