Watu wanataka haki, hizo habari za kazi yeye zinamuhusu nini?, amesahau kuwa hata yeye alishawahi kulalamika kukatwa kodi nyingi, ikapelekea mpaka kuchelewesha mishahara pale wasafi?, , yaani kisa uongozi wa sasa anaelewana nao ndio wanaolalamikia uongozi huu waonekane wavivu au? , wasanii...
Sio ACT na CHAUMA tu, bali vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi wa mwaka huu ni vikaragosi na na si vibaya tukiviita kwa jina la CCM B. Uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2019 na wa 2024 pia uchaguzi mkuu 2020 unakupa picha ya wazi kuwa uchaguzi kwa sasa ni wizi mtupu. Nilitegemea vyama vyote vya...
Huyo Dr Kimei ana uhodari gani kwenye banking and finance?, haukumbuki madudu ambayo benki ya Crdb iliyafanya kipindi chake kwenye kashfa ya EPA?, CRDB ya Kimei iliongozwa na lobbying nyingi sana. Kiufupi kimei kwangu hakuna lolote, labda kidogo Dr Dorothy Gwajima.
Hivi hawa majaji na mahakimu wa sasa wataacha Legacy ipi?, wanaiua taasisi ya mahakama taratibu unajua tatizo letu sisi watanzania ni ubinafsi tu, leo hii tuna mashirika na taasisi nyingi zilikufa hapa Tanzania kwa sababu ya watendaji wake kujiangalia wao wenyewe na sio kuongozwa na maono, ni...
Hiyo ofisi ya msajili ni tawi la CCM ndo maana na wewe Paschal umehudhulia hicho kikao cha chama chenu, hakuna msajili wa vyama vya siasa hapa Tanzania, ni utapeli mtupu.
Hakuna mahakama siku hizi. Sasa hivi hata ukiwa na ishu na mtu bora ujichukulie sheria mkononi tu, polisi na mahakama ndo taasisi za hovyo kuliko zote serikalini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.