Umoja vyama vya upinzani ndo utalinusuru taifa na huu ugonjwa ccm endeleeni kufanya kazi kwa pamoja na kuwatoa wote wanaowavuruga ndani ya upinzani wenu.Pamoja Tz itakombolewa
Kwa haya yanayotokea bungeni kama Watz watashindwa tena kupatta sababu ya msingi ya kuikataa ccm basi hata aje Yesu kwa mara ya pili kuwafundisha hawataamini
Kazi ipo kwa sasa TZ ni siasa maji taka hakuna cha maana kinachofanywa na hawa ccm naona wanasubiri tu 2015 kama vile timu iliyofungwa inavyosubiri dakika90 ziishe.Wote mbumbumbu viongozi,police wanachama wa ccm basi ghasia mtindo mmoja
kama hii habari ni yakweli basi nakubali kabisa kuwa Hamisi anakosea asingepaswa kulipiza kisasa cha kutolelewa na babake ktk kipindi hiki wakati babake ni mgonjwa,tunatakiwa kusamehe mara saba sabini
Nadhani kama Maige ameweka haya maoni kwa kujitambua na sio amejiandikia tuu then kuna haja na kiti cha spika kujipanga upya na kuona wapi wanakosea,kutumia nguvu hakuwezi kuwa ndo njia pekee ya kuendesha bunge na nchi kwa ujumla wake
Halo naomba ufahamu kuhusu hili nimesikia baraza la mawaziri linavunjwa sina hakika if yes swali linakuja..... kitendo cha rais kutaka kuvunja baraza la mawaziri kwa sababu wanaumwa ni kuwatendea haki wale wagonjwa na je kuna muda walisha wahi kuwajibika kwa vile walikuwa wazima?mm naona ni mfa...
Ingekuwa ni mm nimekutuma uje kueneza siasa za kijinga za ccm ningekupumzisha kama B.nyoni mana umepauka kisiasa na kufilisika kisera.maghati unadhani huwa wanatoka kwa kupungukiwa sera kama ccm au wanatetea maslahi ya umma pole tuna kazi kuelimisha watu kama ww mmhhh kama ni fee inabidi...
Ingekuwa ni mm nimekutuma uje kueneza siasa za kijinga za ccm ningekupumzisha kama B.nyoni mana umepauka kisiasa na kufilisika kisera.maghati unadhani huwa wanatoka kwa kupungukiwa sera kama ccm au wanatetea maslahi ya umma pole tuna kazi kuelimisha watu kama ww mmhhh kama ni fee inabidi ulipe...
Kitendo cha utungaji wa sheria bungeni kwa ile njia ya ndio na hapana ni demokrasia ya vyama vingi?sasa hivi bungeni imepita kipengele cha 17b kuhusu kuwahusisha DEO/DED/WEO/VEO kwenye mchakato wa katiba mpya.Imefikia mahali Mbowe amelazimika kushawishi wabunge wa upinzani kukubali yaishe je hii...
Nadhan Arusha kuna vuguvugu ambalo watawala wasipolichukua kwa uzito na uangalifu litaleta shida kubwa.Nimshauri Mkuu wa mkoa na waliohumu ndani ambao wanaweza kumshauri aache uvivu wa kufikiri.tuwe na agenda za kitaifa na sio maslahi binafsi
Naomba kueleweshwa je kilichotakiwa kuchangiwa katika huu mswada ilikuwa ni ishu ya wakuu wa wilaya,wakurugenzi na wanasiasa kuingia mana wachangiaji wote wameishia hapo.vip kuhusu malalamiko ya mamlaka ya rais katika katiba?
Hatimaye mapendekezo ya kambi ya upinzani kuhusu katiba mpya yapokelewa kwa makofi na kuondoa aibu wamesema ni maoni ya serikali duh kweli hatuna serikali kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.