Recent content by MashKibakora

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nape Kasema haya baada ya Ney kuachiwa huru

    Nahisi wee hujui tafsiri ya tusi ni nn,inamaana rais kakubali kutukanwa sio?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nape Kasema haya baada ya Ney kuachiwa huru

    Kinachofanyika kitandani sio matusi pale ni sehemu yake sahihi labda kama hujui nini maana ya matusi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Huna lolote tetea hoja yako achana na udaku,unaporopoka jambo uwe na ushahidi wewee sio unatokwa povu tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Unaweza kunukuu hapa kipande cha tusi katika huo wimbo?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

    Tut Tutajie hao viongozi waliokejeliwa kwenye hyo nyimbo,na ututhibitishie Serikali haifanyi kazi na umbea wa kwenye mitandao yakijamii hvyo huo niumbea wako tu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego atoboa na hit song yake kwenye wakati mgumu wa kiki za kisiasa (Free Nation)

    Embu tupe hilo Ngoma la Baghdad kama unalo mkuu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nape amezuiwa, ujumbe umewafikia

    Pia siungi mkono kilichotokea hahahahahahahaha DAB !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Social Media reactions as President Magufuli sacks his Minister

    Sio Mengi ni Mange
  9. M

    JamiiForums Tanzania Social Media reactions as President Magufuli sacks his Minister

    Huyo Kimambi mie sijamuelewa hahahahahaha
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Daaah! Kazi ipo na tunakokwenda si kuzuri
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hela wanazotuhumiwa kupewa kina TID zilitolewa na nani na kutoka fungu gani?

    Ni hayo tu ulioyapata kutoka kwenye clip ya nyerere? Je ni ushahidi upi unaonesha kwamba makonda kawahonga wasanii wa dawa za kulevya? Ni ushahidi upi unao onesha kuwa Makonda kawahi kumtongoza Wema? Je ni ushahidi upi unao onesha Steve kupigwa stop na Makonda? Je hao viongozi waliotajwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Pale suala nyeti na mustakabali wa taifa linapogeuzwa kuwa siasa!!

    Kumbuka kuwa Uongozi ni kipaji, ni uwezo, ni utashi,na kufeli masomo sio kufeli maisha na kufeli masomo haimaanishi kuwa huwez chochote katika ulimwengu huu,wangapi wamefauru huko nyuma kwa udanganyifu na mbele huko wakafeli? na ukifuatilia wengi waliofeli huko nyuma nakujiendeleza ndio...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pale suala nyeti na mustakabali wa taifa linapogeuzwa kuwa siasa!!

    Hhahahahahahahahahah Ahsanteeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na aina hii ya usajili unaofanywa na Mwenyekiti wangu Freeman Mbowe

    Pamoja na kutumia nguvu kubwa ya Wasanii wee unadhani iliwasaidia nn? kama unahisi iliwasaidia wasingekuwa na haja ya kutumia njia mbadala,hapa chadema wanazidi kujichafua na kujiua kisiasa mwanzo walijiziba midomo wenyewe baada yakumpokea yule waliyekuwa wakimtuhumu wao wenyewe kuwa fisadi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya mafao inasemaje kuhusu Viongozi Waziri Mkuu anapohama chama

    Hv wee umetoboka akili ama nn mtu mzima na ndevu za ulimi unashindwa kutofautisha jambo la kiserikali na jambo la kiChama? EDO ni Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania co wa CCm,hakuteuliwa na CCM kuwa waziri mkuu aliteuliwa na Serikali hyo CCM yako ilimpa ridhaa yakugombea Ubunge co Uwaziri Mkuu.
Back
Top Bottom