Jmujun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 965
- 527
Nimeuliza nahitaji kujua tu, maana ulichonacho ndo utakachokitumiaAnamiliki media gani?
Nimeuliza nahitaji kujua tu, maana ulichonacho ndo utakachokitumiaAnamiliki media gani?
MATUSI YAKO WAPI, MATUSI UNAYAJUA WEWE?Sasa Nape anamshukuru rais kwa wimbo huu wa matusi?
Sio yeye bana ni baba Bashite alizuiaHaka kajamaa kamesahau kalivyotunyima bunge live.. Kwnge kabisa
Siyo yeye aliyezuia isipokuwa alipewa maelekezo.Haka kajamaa kamesahau kalivyotunyima bunge live.. Kwnge kabisa
MATUSI YAKO WAPI, MATUSI UNAYAJUA WEWE?
Kitandani peke yake ndio kuna matusi tena mkiwa mmevua nguo ukiwa na wandani wako mkiivunja amri ya sita...
...Matusi umeyaona wewe, mkulu kasema wimbo uendelee kuchezwa na dogo aende kupata lunch ikulu.
NAPATA WASI WASI NA UWEZO WAKO WAKUFIKIRI
Nani katukanwa kwenye huo wimbo?
Kitandani peke yake ndio kuna matusi tena mkiwa mmevua nguo ukiwa na wandani wako mkiivunja amri ya sita...
Kama hujui tusi lilomo kwenye huo wimbo...utafte kwanza usikilize alafu urudi mkuu...nais tutabishana bila ya ww kujua unabishania nini?
Nahisi wee hujui tafsiri ya tusi ni nn,inamaana rais kakubali kutukanwa sio?
usitafsiri nyimbo kwa hisia zako ukasema ni matusiSasa Nape anamshukuru rais kwa wimbo huu wa matusi?