Recent content by mashizo

  1. M

    Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

    wengi tu mimi mmoja wapo. au unataka watu maofisini wajitangaze ndio uelewe. mkuu wa shule ya feza boys mwenyewe ni zao la shule izo. nenda muhimbili kaulize kuna doctors yeyote amesoma FEZA utapata jibu.
  2. M

    Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

    acha hizo hapa hatuko kwenye kufundishana lugha kama huamini acha iwe ivyo hatuko kubishana hapa. it is non of ur business man
  3. M

    Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

    shule za FEZA zinaendeshwa na wafanyabiashara wa kitanzania na waturuki wachache
  4. M

    Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

    wanamiliki kwa pamoja wote watanzania na waturuki.
  5. M

    Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

    mimi ni mmoja wa wanafunzi nimesoma apo FEZA o-level na high-level. shule za FEZA hazina mtaala wowote unaofundisha ugaidi. shule ina walimu mchanganyiko waturuki na watanzania. wanafunzi wengine niliosoma nao sasa hivi ni walimu apo FEZA. kwa mfano mkuu wa shule ya FEZA boys alisoma apo...
  6. M

    Gari ipi bora kati ya Honda CRV na Toyota Verossa

    habari zenu wakuu naomba kuuliza ipi gari nzuri ya kununua kati ya Honda CRV na Toyota Verossa. Ipi ni economic na inafaa kwa masafa ya mbali
  7. M

    je kweli ni fair kweli malipo aya kwenye ulinzi wa sungusungu

    habari zenu wakuu, jamani naomba kuuliza uko mitaa mnayoishi ulinzi wa sungusungu nyakati za usiku upo? hapa mtaa ninaoishi kulitokea matukio ya uhalifu kama mawili hivi, sasa ikaamuliwa uanzishwe ulinzi wa sungusungu. tatizo lilipo ni njia wanazotumia hao viongozi wa kikundi cha ulinzi. 1)...
  8. M

    Msaada wa notes na videos kusaidia vijana wa shule za sekondari

    Habari zenu JF members, Kutokana na upungufu wa walimu wa masomo ya sayansi na ata yale ya arts na biashara, nimefikia wazo la kuanzisha website ambayo itakuwa inahusiana na wanafunzi kupata materials (notes)pamoja na videos. kwa kuanzia mimi binafsi nimeshaanza kuandaa notes za physics...
  9. M

    VIDEO: Akili ndogo kutawala akili kubwa

    duuh msigwa jembe
  10. M

    Kwanini wasichana waliolelewa na mama tu au familia ambayo mama anatawala huwa na kasoro hizi?

    sio wote kuna wengi wamelelewa na mzazi mmoja na wana tabia nzuri tu. inategemea na mama mwenyewe kamlea vipi mtoto wake. mimi girlfriend wangu kalelewa na mama pekee toka anazaliwa ila anatabia nzuri sana. mwaka jana nilikuwa na msichana mwingine nae pia alikuwa na situation the same ila...
  11. M

    Asanteni sana mmu members

    Habari yenu MMU members, nawashukuruni sana wale wote waliochangia kunishauri kuhusu yule msichana ambaye alikuwa analala kwangu sometimes ila alikuwa anamuota ex boyfriend wake pamoja na kufanya mapenzi kabla ya kulala. kisa hiki kilinitokea 2011 na demu nilikuwa nae kwa mwaka mmoja na nusu...
  12. M

    Mkoloni mwarabu na hasara zake kielimu

    acha upumbavu wako wewe hakuna uhusiano wowote kuandika kuanzia kulia kwenda kushoto mtu asiwe na akili. mimi mwenyewe nimesoma sana madrasa lakini form form nimepiga one ya point 11 na form six one ya tisa na kwa sasa ni engineer tena nimesomea nchi za ulaya. acha hujua mkuu. changia point na...
  13. M

    Mbinu wanazotumia shule binafsi kufaulu sana

    mkuu mzalendo shule binafsi hawachakachui ata kidogo mimi nimesoma miaka sita na hakuna ata siku niliyoona watu wakichakachua. kwa mfano sisi enzi zile ili mtu aendelee kidato cha mbele lazima awe na average pass mark ya 55% na mtu wa mwisho class yetu alikuwa na 58% apo ndio utajua kwa nini...
Back
Top Bottom