habari zenu wakuu,
jamani naomba kuuliza uko mitaa mnayoishi ulinzi wa sungusungu nyakati za usiku upo?
hapa mtaa ninaoishi kulitokea matukio ya uhalifu kama mawili hivi, sasa ikaamuliwa uanzishwe ulinzi wa sungusungu. tatizo lilipo ni njia wanazotumia hao viongozi wa kikundi cha ulinzi.
1) wanahitaji kila mwanaume anayeishi mtaa huu alipe shilingi 2000/= kwa mwezi na pia alinde kila siku.
2) yule ambaye hawezi kulinda kila siku basi alipe shilingi 15000/= kwa mwezi na pia alinde siku mojamoja
3) yule ambaye hawezi kulinda kabisa alipe 100000/=
izo bei ni kila mpangaji na mwenye nyumba kwa watu wote tunaoishi mtaa huu. sasa jamani izi gharama ziko fair kweli? maeneo yenu ali ikoje?