Wabongo mnachekesha.....Verossa zimeanza kutengenezwa 2001, Brevis nazo zimeanza 2001 sasa huko kupitwa na wakati kunatoka wapi? Au kwasababu umeanza kuona hio mitumba late kuliko Verossa? Zote old bangers tu.Verossa zimepitwa na wakati bora uchukue yeboyebo (brevis)
Na huu ulimwemgu wa sasa wa kuagiza biashara mitandaoni bado mnaogopa wakati maduka yapo viganjani?Honda ipo poa xna ila ukweli spea zake utajatembea mpk ulie!
Kuna ybyb kama ist au rav4? Shida tupu na umaskini huwezi chagua sana gariVerossa zimepitwa na wakati bora uchukue yeboyebo (brevis)
Sasa unashauri kitu hujui?...is that fair to yourselfSijui chochote wala lolote juu ya magari ila ngenunua CRV
Najua mwonekano wa nje tuSasa unashauri kitu hujui?...is that fair to yourself
Nadhani unamaanisha mitt Romney na sio rooney tafadhali.mkuu mie sio mtu wa magari.
ila kwa kesi za gerage,hizo zooote zinafanana.
kinachonikera kwa verosa
-ni sura,aisee gari hii kwangu inasura mbaya kweli,yaani ipo kama vile mtu ametoka kijijini halafu umempeleka posta antoa mimachoo,ndio sura yake
-gari ya chini kwa Dar kwangu sio dili.
-zimekuwa hazina heshima mjini,ukiona gari inaimbwa saaana kwenye nyimbo,jua imekaa kihunihuni.ukienda parking ya Bar na guest houses zipo teleeeeeeeee
Ninachopenda kwa honda
-Kwanza imekaa kama diplomatic vehicle,kimtindo lakini sio kiviiile
-pili gari ya juu ndio mpango mzima,sio unakaa kwenye gari hata mwenye Noah akitema mate yanakudonokea,we unajisikiaje plae dem anapita na gari ya juu hlafu wewe unabakia kuchungulia kwa chini,aibu aisee
mkuu kitu honda,verosa zilipendwa utakuja kuiuza bila kupata mteja,waulize wenzio wa ALTEZA wanavyozitia sokoni kwa sasa kwa bei mpovu.
Ni bora GX 110 inamuundo mkali sana kuliko verosa sura mbaya,sura ya uzezeta,sura kama rooney
Labda unamaanisha vx safari zile gari za wahindi sio Toyota vx mkuuSpare za honda generation 1 and 2 zimejaa madukani..msimbazi..kule ilala..na hata used zipo kibao tu. Mdau chukua honda hutajutia..na nzuri zaidi km unapenda safari masafa..hata vx akikaa vibaya atasoma namba..
Sawa, hujamboo lkn? Uwe na good easter ThursdayNajua mwonekano wa nje tu