Hii ni aibu kwa taifa... Badala ya bunge kujadili hatma ya wananchi wao wabungee waccm wanaonyesha upuuzi wao hadharan kwa kumzawadia hela mpuuzi mwenzao mwigulu nchemba.. Hivi kweli tumefikia hapa? Mtu badala ya kuchangia hoja katika bajeti anatoa mipasho alafu mwisho wa siku tunamchangia hela...
"TUMEFIKA HAPA KWA SABABU YA UDHAIFU WA RAIS KIKWETE,KWA UZEMBE WA BUNGE, NA KWA SABABU YA UPUUZI WA CCM". Kikwete asingekuwa dhaifu angeweza kusimamia sera yake ya maisha bora kwa kila mtanzania.. Kwa udhaifu wake ndio unafanya kuwa maisha bora kwa kila fisadi... Report ya CAG ni jibu la...

Nashukuru kwa Report yako Gamba. Mim naomba nijiulize maswali yafuatayo, kwanza hiyo chekechea anayosoma huyo mtoto ipo nchi gani? Pili kama ni Tanzania, je serikali ya magamba haioni kama wao ndio tatizo kuruhusu ada ya shule ndani ya nchi yetu kulipwa kwa dola? Na je kama shule ambazo zina...
Jaman achen kututukana wana Arumeru.. Mbunge wetu hajawah kutuahidi kitu kama hicho... ,meru sio nchi ni jimbo halina kiwanda. Kuna mambo ya kijamii tuliyo aidiwa kama Maji, hospital na ardhi. Swala la sukari ni unafki tu wa Magamba.. Watu wa Arumeru tuna akili ya kutosha hatuwez danganywa kama...

Lema ni special One katika siasa za bongo... Wakitokea watu kumi kama hawa hapa Tanzania... Hii nchi ingeiva... Ila naamin akitumika vizuri huyu mmoja tuliyenaye lazima ipo siku tutamkumbuka kwa jitihada zake... Ndio maana Arusha huwezi kusema lolote juu ya Lema.. Anapendwa na anaishi maisha ya...
MTU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KAA NA KUSOMA CHADEMA NI CHAMA CHA UKANDA FULAN AU KABILA FULAN AU DINI FULAN... KILA JAMBO LAZIMA LIWE NA CHIMBUKO NA MWANZO WAKE... PIA LAZIMA KWENYE SIASA KUWE NA NGOME... KASKAZIN, KANDA YA ZIWA NA NYANDA ZA JUU KUSIN NI NGOME YA CHADEMA... TUMEBAKIZA MASHARIKI...
M4c...kwa tulio vyuon na wotee tuliofunguka.... Tumia muda wako mwingi kuongea siasa... Kama ni ubraza men tinga hata skaf ya peopless.... Sio mbaya ukimnunulia dem wako vitu vyenye nembo au ujumbe wa peopless... Mkiwa out,kwenye haice,chumban, viwanja ongea siasa uone kama hujawa kati ya waleta...
Kamanda Hongeri kwa kuandaa huo mkutano.. Pia ikiwezekana Mwombeni Millya aje na Diwan aliyejivua Gamba Mawazo na Ally Bananga... Hawa watu watawapen chakula cha akili... Hakika mtapikwa na mtaiva... Last week Alhamis walitulisha hapa IAA hakika kila mtu aliondoka pale na kitu... Ikiwezekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.