Ole millya kutua ndani ya jimbo la lushoto alhamisi tarehe 24/05/2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ole millya kutua ndani ya jimbo la lushoto alhamisi tarehe 24/05/2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbelwa Germano, May 21, 2012.

 1. Mbelwa Germano

  Mbelwa Germano JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 789
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  TAARIFA YA UJIO WA KAMANDA OLE MILLYA JIMBO LA LUSHOTO TAREHE 24/05/2012
  _____________________________________


  Napenda kutoa taarifa kwa wanachama/wafuasi wa CHADEMA kwamba, siku ya alhamisi tarehe 24/05/2012 Kamanda Ole Millya atawasili jimbo la lushoto-wilaya ya Lushoto, Mkoa wa Tanga kwa ajili ya ufunguzi wa matawi ya chama pamoja na kufanya Mkutano mkubwa wa hadhara eneo la soko kuu la Lushoto.

  Ufunguzi wa matawi utaanza siku inayofuata ya tarehe 25/05/2012, ikifuatiwa na mkutano wa hadhara kuanzia saa nane mchana eneo la soko kuu la Lushoto karibu na benki ya NMB. Mkutano huu pia unalenga kupokea wanachama wapya katika mwendelezo wa operesheni kabambe ya "Vua Gamba, Vaa Gwanda" katika kukidhi hitaji la vuguvugu la mabadiliko nchini.

  Vilevile Kamanda Millya atatumia fursa hii kuzungumza na wahitimu wa mwaka wa tatu na wanachama wa CDM wa chuo kishiriki cha Tumaini, Sebastian Kolowa, pamoja na kufanya ufunguzi wa tawi la wanachama wa CDM wa Chuo cha usimamizi wa Mahakama(IJA) na chuo cha ustawi wa jamii Mabugai.


  Hakika Tutashinda,
  Germano MBELWA

  ------------------------------
  Katibu Mwenezi
  Jimbo la Lushoto.

   
 2. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,391
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Nape,endelea kuimba cdm ni chama cha kikanda,cha ukoo,cha msimu,cha kidini na unavyoweza kuimba.kwetu sisi huu ndio wakati wa ukombozi........
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Aluta Continua......
   
 4. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,498
  Likes Received: 2,597
  Trophy Points: 280
  Salute sana makamanda ...karibu panakucha!
   
 5. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  All the best kamanda Millya......pipoz.............................
   
 6. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kazi nzuri makamanda, tunakaba kila kona. Bado kuna operation ya 'piga kura, linda kura'... 2015 lazima tuwatoe magamba. M4C Forever...
   
 7. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 21,501
  Likes Received: 15,791
  Trophy Points: 280
  Mbelwa, msisahau kuwapeleka makamanda hadi Kwemakame, Malibwi hadi Kwekanga ili watu wavue gamba na kuvaa gwanda. Kule kuna watu wanadhani chama pekee ni CCM na hakuna Mbunge kama Shekifu. Watu waamshwe.
   
 8. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,229
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  mgosi umesaha lukozi,mlalo na mkuzi!
   
 9. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,923
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 160
  .
  Molemo.

  "Aluta Continua, Victoria Acerta" ... (The struggle continues, victory is certain)

  .
   
 10. m

  mashimbamang'oma Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamanda Hongeri kwa kuandaa huo mkutano.. Pia ikiwezekana Mwombeni Millya aje na Diwan aliyejivua Gamba Mawazo na Ally Bananga... Hawa watu watawapen chakula cha akili... Hakika mtapikwa na mtaiva... Last week Alhamis walitulisha hapa IAA hakika kila mtu aliondoka pale na kitu... Ikiwezekana Hata Lema mwaliken...
   
 11. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hongereni makamanda,kazeni uzi usikatike,fikeni hadi Ngwelo kwani wanachama wanahamu sana ya operation ya Vua gamba vaa gwanda.TUPO PAMOJA SANA NA NGUVU NYINGI ZIWAENEE.
   
 12. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Kamanda millya nakuaminia..karibu.
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Tunashida sana na Monduli, Simanjiro, Kiteto na Ngorongoro Milya fanya mchakato bana.
   
 14. L

  LOMAYANN JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 1,154
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Pamoja sana makamanda wa ta ila usisahau coverage ya huo mkutano hapa jf
   
Loading...