Mwenye upeo ataelewa...m4c daima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye upeo ataelewa...m4c daima

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mashimbamang'oma, May 21, 2012.

 1. m

  mashimbamang'oma Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MTU MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KAA NA KUSOMA CHADEMA NI CHAMA CHA UKANDA FULAN AU KABILA FULAN AU DINI FULAN... KILA JAMBO LAZIMA LIWE NA CHIMBUKO NA MWANZO WAKE... PIA LAZIMA KWENYE SIASA KUWE NA NGOME... KASKAZIN, KANDA YA ZIWA NA NYANDA ZA JUU KUSIN NI NGOME YA CHADEMA... TUMEBAKIZA MASHARIKI MWA TANZANIA NA KANDA YA KATI... HATA INJILI ILIANZIA ROMA HATIMAE SASA IPO AFRICA.... TUSIWE NA UPEO MDOGO KUNG'AMUA MAMBO... M4C DAIMA. KWA WALE WASOMA BIBLIA SOMEN HABARI ZA SAULI / PAUL ALAFU MFANANISHEN NA ANACHIKIFANYA KAMANDA MH GODBLESS LEMA.... PATA PICHA WAKIPATIKANA WATU 5 TU KAMA LEMA HII NCHI HAITOFIKA 2015... Kabla haijakombolewa...
   
Loading...