Ongea siasa uikomboe nchi...

Feb 21, 2012
53
23
M4c...kwa tulio vyuon na wotee tuliofunguka.... Tumia muda wako mwingi kuongea siasa... Kama ni ubraza men tinga hata skaf ya peopless.... Sio mbaya ukimnunulia dem wako vitu vyenye nembo au ujumbe wa peopless... Mkiwa out,kwenye haice,chumban, viwanja ongea siasa uone kama hujawa kati ya waleta ukombozi katika hii nchi...... Tujaribu kuwaamsha waliolala... Tujaribu kuongea yaliobaya ya serikali watu wajue haki wanazozipoteza... Hiyo ndio njia kuu iliyotumika kaskazin mpaka leo hii ukiongelea siasa kaskazin ni sehem ya kwanza kutolewa mfano... Huku ndio image ya siasa tanzania.. Kila jambo lina mwanzo na sasa itakuwa tanzania yote....
 
Siasa ndo maisha ya kila mtanzania.
Siyo kuzungumza tu, ni pamoja na utekelezaji wa kazi za siasa.
 
Back
Top Bottom