Haji Duni si mwanachama wa chadema bali ni mwanachama wa CUF , katka kugombea urais wa Tanzania huwa ivi mgombea mwanza hutoka zanzibar na kwakuwa kulikuwa na ukawa ndo ndo wakabalance wakamuweka Duni wa CUF
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.