Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
goooooool, nangwanda azam wanapakatwa na ndanda fc..ndanda 1-0 azam
Amina.
goooooool, nangwanda azam wanapakatwa na ndanda fc..ndanda 1-0 azam
Mtwara kumekucha, hal mzuri, kumependeza.Mtwara kuchele maana yake nini??
Hapa Nangwanda timu ndo zinapasha pasha kwa ari ya kushinda hasa hawa vijana wa Ndanda fc....kila a kheir timu ya kukaya ndanda fc.
Wamechokoza nyuki hao! Sasa ngoja majibu ya maswali yao!!goooooool, nangwanda azam wanapakatwa na ndanda fc..ndanda 1-0 azam
naomba matokeo kagera
Wamechokoza nyuki hao! Sasa ngoja majibu ya maswali yao!!
Unamdhamini chizi mahakani?Amina.
Karibu mkuu, kila la heri Tanzania Prisons
Sasa tuone wazuie change yetu.Azam ni nzi tu siyo nyuki.
Amina.
Mikia matokeo yao yanajulikanaMikia vipi
Azam wanarusha game tatu, ikiwemo Coastal Union na Ruvu Shooting kutoka Mkwakwani..
MM Tuombee nasi pia leo tushinde.
Mikia vipi
Wamepata bao dak. 36 Owino.