Recent content by mashalo

  1. mashalo

    Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

    Yaliyoandikwa Sasa yametimia.. Byebye Kitwanga kaendelee kutwanga hadi 'Vilondon' na 'Vijogoo'...
  2. mashalo

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Ujasiri na msimamo uliooneshwa na baadhi ya wabunge wa CCM limeendelea kuchukua picha mpya baada ya Mbunge Kijana Easter Bulaya kuonyesha msimamo wake endapo kama Serikali haitochukua hatua stahiki kwa wahusika wa kashfa ya Escrow atawahamasisha vijana na kina mama wanaotaabika kiuchumi, kielimu...
  3. mashalo

    Hivi hii GIO-YAP Tanzania (Awareness Creation Officers) ni ya kweli?

    Ni juzi tu nimepokea e-mail inayonijulisha kuwa nimepita kupewa kazi ya kujitolea na hawa Youth Awareness Program walioweka tangazo lao zoom. Tangazo lilihitaji wato 70 na baada ya kutuma CV wamerudisha majibu kuwa nimefaulu ila tatizo linakuja kwenye kutaka wapewe 50000 kwa ajili ya...
  4. mashalo

    Mzumbe university vyeti vyetu viko wapi?

    Problem solved, no more comments.
  5. mashalo

    natafuta rakifi wa kiume

    Describe yourself
  6. mashalo

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Pamoja na hayo huyo waziri kashaonesha ni jinsi gani alivyokuwa akiisaliti ndoa na familia yake
  7. mashalo

    Kikwete amlipia mahari mtangazaji Cyprian Musiba

    Hasa ukichukulia kiporo hakihitaji moto mwingi, hata wa fegi tu kitu kinapata moto...Tehtehteh
  8. mashalo

    Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

    Habari kuandikwa na chombo kimoja isiwe utetezi, hajui kuna kitu kinaitwa SCOOP? Kama ni taarifa ya uchunguzi alomwambia itahusisha vyombo vingine ni nani? Asijitetee kwa kuvipamba vyombo vingine vya habari... Kama ipo ipo tu Mheshimiwa
  9. mashalo

    Airtel Money Acheni Wizi

    Nimekuwa mtumiaji mzuri wa Airtel Money kwa muda. sasa tangu walipokuja na slogan yao ya HAKATWI MTU HAPA, nimeshawahi kutumiwa pesa wakailamba hapohapo nilipouliza nikaambiwa tatizo lako linashughulikiwa ndani ya saa 24 itarudi na sasa mwezi unafika mwisho wa siku naambiwa eti hela haionekani...
  10. mashalo

    interview pccb

    Hivi ni kweli kuwa hawatachukua Graduates waliomaliza mwaka huu? Maana kuna watu tayari washavumisha kuwa watachukua tu graduates waliomaliza 2012 kurudi nyuma... Any assurance please...
  11. mashalo

    Majibu ya bodi kwa waliokosa mkopo

    Ni Mbulula full arif...wao walisoma kwa masharti haya?
  12. mashalo

    Majibu ya bodi kwa waliokosa mkopo

    Acha ulimbukeni, Chukua Chako Mapema kamwe haiwezi kuwa kwa chadema
  13. mashalo

    Onyo; Men's talk... "inawahusu wanaume pekee..!!

    Wao ndo tatizo wakati mwingine
  14. mashalo

    Kikwete amlipia mahari mtangazaji Cyprian Musiba

    Asubiri kusaidiwa Mtoto pia
Back
Top Bottom