Wakati unamalizia kitabu chako usisahau kurekebisha thamani ya pesa alokwapua kwa uwiano na TShillings.
Usisahau kuwa USD1.00 ilikuwa ni TZS810.00, kwa rate hiyo hauwezi kupata 4.4billion, hauwezi kusimulia tukio la miaka kumi na kenda kama limetokea jana
Familia tena msemaji wa familia ndiye mtu pekee mwenye haki ya kutangaza tukio la kifamilia. Kwa sababu ya haki hiyo pia ndiye mtu pekee anayeweza kuamua nani atoe taarifa kwa umma.
Kwa ajili ya upungufu wa ubongo wako unaanza kuhoji juu ya mtu alotangaza kifo wewe ni nani kwenye familia ya Ruge.
Mwisho wa magenerator yao kutuuzia umeme unakaribia, wajinga hadi leo wanatulinganisha sisi na tembo kama hao tembo wana maana sana kuliko maendeleo yetu waje wawachukue.
We are not going to kill animals, they have their own intelligent if they notice that the environment aint suitable for them...
Akili kama za kuku,
mnasahau juzi tu. mlikuwa mnamtuhumu kuwa Kikwete dhaifu na kuwa ilipofikia inahitaji kiongozi dictotor kwa sababu mambo yalikuwa hayaendi.
Ame dictate kidogo tu mkaanza kumzomea kuwa ni dictotor uchwara, hata hajaongeza mbinyo hata kidogo mmeanza kulia lia.
Hiyo mnaiita...
Anyway, siwashangai sana ndio maana mko busy Ulaya mnasimulia kuwa nchi yetu chafu na kesho mnataka dola, wajinga tu ndio wanaweza kukupigieni kura kwa sababu wanaweza kuamini ujinga wenu
Sasa nawe unajiona una akili, tatizo lenu ni kusikiliza kila kitu na kupokea kama kilivyo halafu unarelax. Unataka uwe kama Ulaya halafu hautaki kufikiri how did they get there. It's unfortunate kuwa wajinga mko wengi kweli wengine mmechagua kuwa wapumbavu kabisa.
Usiongee vitu ambavyo haujui, ni wajibu wa makampuni kukadiria hesabu zao mwanzoni kabisa mwa mihula ya kibiashara ilogawanywa mara nne ndani ya miezi 12, ni wajibu wako pia mfanyabishara kuijulisha mamlaka ya mapato kila unapopitia ya kipato na mtiririko wa biashara yako kwa ujumla. Unapaswa...
Hauwezi kuelewa wala kuona tofauti kwa sababu hata wewe hauchukui muda wako kutafakari kauli za hawa wote. Inawezekana kabisa kwa vile kichwa chako kimeaminishwa unachoamini kwa sasa hata kusikiliza huwa hausikilizi kwa sababu umeambiwa kuwa hawana jipya.
Sijui tutumie mbwinu ipi kufuta huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.