Wadau poleni na majukumu na pongezi kwa ufanisi. Kuna jambo ambalo sidhani kama mamlaka zinazousika zipo makini na afya za wananchi wa hali ya chini!
Katika eneo la kata ya Ng'ong'ona ambayo ipo katika jiji la Dodoma karibu kabisa na Chuo Kikuu cha Dodoma kuna machinjio ambayo kama mamlaka...
Ni kweli binafsi wanakuja wengi wakiwa na shida mbalimbali za kiafya,ukimuuliza kwa nini una tumbo kubwa utasikia "Nilijifungua kwa upasuaji dr". Ukiuliza ulipatwa na shida gani mpaka ukajifungua kwa upasuaji wengi useme ni kuzuia uke usitanuke ili waume zao wasijetoka nje ya ndoa.Kimsingi dada...
Mkuu kwa heshima naomba unisaidie jambo hili,Mara zote ukiingia kwenye ndege uwa kuna utaratibu wa wahudumu kutoa maelekezo muhimu ikiwemo jinsi ya kutumia milango ya dharura nk.Swali langu ni wakati gani milango hii ya dharura inaweza kutumika?.Kwenye hii ajari ya Ethiopia nina uhakika rubani...
Juzi rafiki yangu kafiwa na mke wake, mke alikuwa mwalimu hapa dodoma mjini, nilichojifunza nikuwa thamani ya mtu ipo ikawa hai. Ofisi ya marehemu hawakufanya lolote kilichosaidia rafiki yangu alikuwa kwenye chama cha kusaidiana ndio kilimsafirishia mpendwa wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu heshima nyingi sana kwako,napenda sana umakini wako katka uchambuzi wa haya mambo na ni miongoni mwa watu wachache sana wanaonivutia katka jukwaa hili.
Tafadhari nitag kwa muendelezo wa hii story please
Ndugu zangu nawasalimu kwa upendo mkubwa na ni imani yangu kuwa mmekuwa na siku njema kabsa,juzi nilikuja katika jukwaa hili nikaeleza hitaji langu la kupata mke wa kuoa na niwashukuru wale ambao mlini-pm na tukaweza kuongea.
Kama nilivyosema juzi mimi ni baba wa watoto wawili ambao nawapenda...
Habari zenu wanajamvi,bilashaka mmekuwa na jpili iliyonjema kabsa.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35,ni daktari wa binadamu na naishi dar na nimebahatika kupata watoto wawili ambao nawapenda sana ,ila kwa bahati mbaya mzazi mwenzangu na mimi tunatofautiana imani hivyo yeye na family yake...
Nilikutana na binti miaka 6 iliyopta na nikampenda na kuanzisha uhusiano wa mapenzi,by then nilikuwa naptia katka wakati mgumu sana katka mambo fulani na ambayo kidogo yachukue maisha yangu,ukweli nikuwa sikupendi kufa bila kuacha mtoto ata mmoja! Uku na uku yule bnti akabeba mimba yangu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.