Recent content by maserinojr

  1. maserinojr

    Written interview question credit officer,m fuko wa self self MF

    Sio kweli anachosema mdau yuko sahih usahil wa loan officers heslb walitoa maswali yanayohusu taasis tu n vyema akajiandaa kwa hilo pia
  2. maserinojr

    Majina wanayotoa Utumishi kupanga vituo vya kazi yanahusiana na interview iliyofanyika Februari mwaka huu?

    hizi inyerview walipaswa watoe majina waliopita na kupangiwa vituo vya kazi kwa pamoja huu utaratibu wao wa kutoa majina nusu nusu unatia mashaka sana
  3. maserinojr

    Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

    angepewa km asingeenda kuidai mahakamani kitendo cha kwenda mahakamani inaonesha kudai pasu kwa pasu inainesha n mchimba dhahabu tu
  4. maserinojr

    Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

    hapa umedhihirisha ujahili wako km sio ukafiri ina maana hata nguzo ya 5 katika uislam unaiita utalii sijawahi kuona mtu mwenye itikadi hii anayejinasibisha na uislam
  5. maserinojr

    Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

    heshima yako mkuu Naomba unikaribishe Pm kwako
  6. maserinojr

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Accounts officer hawajaitwa bado ambao ndo kundi kubwa
  7. maserinojr

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    hao walioomba wachache kwa sabab requirements ni CPA so nahis wakaona waende oral moja kwa moja
  8. maserinojr

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    wamezngatia nn hapo kuita watu oral moja kwa moja bila written?
  9. maserinojr

    Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

    tayar huku washawaachia unyoya [emoji3][emoji3][emoji3]
  10. maserinojr

    Ali Kamwe achaguliwa kuwa Afisa Habari wa Yanga

    Ilianza azam fc kumchukua zaka zakazi kutoka azam media ikafata simba kwa ahmed ally sasa unavyosema haijawah kutokea ina naana hua hufatilii habar za timu nyingne au n kujifyatua tu
  11. maserinojr

    Huyu mwamuzi wa Mechi kati Geita Gold na Singida Big Stars hajitambui

    hamna refa pale ni ujinga mtupu
  12. maserinojr

    Ali Kamwe: Manara ni mfitini, alinifitini kwa mashabiki

    hii ishu imekuja baada ya yeye kuulizwa na juma ayo (mtangazaji) kwenye intrrview ya valor tv hakukurupuka tu na kutoa hizo shutuma ukifatilia idadi ya watu waliowahi kusigana na Manara utagundua huyo jamaa ana shida kubwa sana
  13. maserinojr

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    niliona ile marking scheme ya pepa ilovuja ya tra majib n short and clear hakuna easay hapo kuna mwanangu pia alifika oral alikua anajib maelezo mengi wakamwmbia just menthion tu
Back
Top Bottom