Majina wanayotoa Utumishi kupanga vituo vya kazi yanahusiana na interview iliyofanyika Februari mwaka huu?

Akili 2

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
1,221
1,829
Nasumbuliwa na Dogo langu nashindwa kuelewa, je majina wanayotoa Utumishi kwa ajili ya kuwapangia vituo vya kazi yanahusiana na interview iliyofanyika mwezi wa pili mwaka huu?

Au ndiyo wanaokoteza tu? Mfano Kuna nafasi Account Officer na Internal Auditor. Hawa watu wanaowapangia vituo ndiyo wanawatoa huko? Kwa watu waliyofanya interview February?

Mwenye uelewa plz
 
Nasumbuliwa na Dogo langu nashindwa kuelewa, je majina wanayotoa Utumishi kwa ajili ya kuwapangia vituo vya kazi,,
Je ? Yanahusiana na interview iliyofanyika mwezi wa pili mwaka huu?? Au ndiyo wanaokoteza tu? Mfano Kuna nafasi Account officer na internal Auditor, Hawa watu wanaowapangia vituo ndiyo wanawatoa huko ? Kwa watu waliyofanya interview February??

Mwenye uelewa plz
ndio
 
Nasumbuliwa na Dogo langu nashindwa kuelewa, je majina wanayotoa Utumishi kwa ajili ya kuwapangia vituo vya kazi yanahusiana na interview iliyofanyika mwezi wa pili mwaka huu?

Au ndiyo wanaokoteza tu? Mfano Kuna nafasi Account Officer na Internal Auditor. Hawa watu wanaowapangia vituo ndiyo wanawatoa huko? Kwa watu waliyofanya interview February?

Mwenye uelewa plz
weka link tuone na kujikumbusha
 
hizi inyerview walipaswa watoe majina waliopita na kupangiwa vituo vya kazi kwa pamoja huu utaratibu wao wa kutoa majina nusu nusu unatia mashaka sana
 
hizi inyerview walipaswa watoe majina waliopita na kupangiwa vituo vya kazi kwa pamoja huu utaratibu wao wa kutoa majina nusu nusu unatia mashaka sana
Sana kwanini wasingetoa tu pdf nzima ya LGA na MDA basi
 
Back
Top Bottom