Recent content by masem

  1. M

    Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

    Binafsi naamini serikali yetu inaweza jiendesha na ina watu wenye uwezo mkubwa sana. Tatizo ni kwamba wanaopewa mamlaka au wanaonunua madaraka wanawanyima wenye uwezo wa kufanya maamuzi na kuchambua mawazo nafasi na ni kwa makusudi kabisa. Wewe Kama mzalendo fanya kufuatilia mikataba ya DP then...
  2. M

    NADHARIA Ugonjwa wa UVIKO-19 unadaiwa kurejea kwa kasi nchini

    Hii homa imezuka hadi Ulaya.. si utani to be honest ni kali ilinishikia Amsterdam nilivyorudi nchi nnayoishi niliogopa nikajua ndo safari. Kwasababu ilikua inabana sehemu zote za hewa haiskii dawa ya kupuliza wala chochote. Tangawizi nilikula Kama chakula. Mwishoni hadi makamasi yalitoka ya...
  3. M

    Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja

    Me naona bora tu ameachiwa kwasababu washirika Wake hawapo hatiani na serikali haiwagusi kwani wapo juu ya sheria.. So It didn’t make sense kumshikilia mmoja na kuacha kundi lake. Nonsense! Sheria ni upanga ingetaka kote kote, anyway wenye nchi waendelee kula tunu za Taifa.. wengine tuendelee...
  4. M

    Raila Atishia kuendeleza maandamano iwapo Serikali haitasikiliza matakwa yake

    Babu jinga on the beat [emoji28][emoji23][emoji28] Na siasa za Africa za majitaka[emoji87]
  5. M

    Mchungaji Mastahi: Nampongeza Rais Samia kwa kutompa nafasi Kamalla Harris kuzungumzia Ushoga, pia nampongeza Waziri Tax!

    Nonsense tu yaani.. agenda zote za msingi zimefunikwa na watu hawaoni wanaenda na propaganda.
  6. M

    True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. M

    2030 mnyukano kura za Maoni CCM upande wa Urais itakuwa ni Dkt. Mwigulu vs January Makamba

    It’s crazy yaani wanachanganya wanachama wenye kutaka mabadiliko ya kweli. Ila Siasa ingeondoka dunia ingekua mahali salama kwa namna nyingine.. manake hao ndo waharibifu kuanzia amani, uchumi e.t.e
  8. M

    Mchungaji Mastahi: Nampongeza Rais Samia kwa kutompa nafasi Kamalla Harris kuzungumzia Ushoga, pia nampongeza Waziri Tax!

    Ebu bana waombee nchi na watu Wake ambao wana njaa vyakula vimepanda bei na maisha duni zaidi kwa mtanzania wa chini. Hawa mashoga wapo toka enzi na enzi kuongea sana Ni kuendelea kutoa promotion zao. Kuna watu vijijini hata hawajui LGBT ni nini. Haiongelewi Report ya CAG kutwa kuchwa...
  9. M

    Askofu Bagonza: Mbwa anayeshinda kwenye Mnyororo na kupewa Chakula na kunyimwa Uhuru hukusanya uchungu na chuki dhidi ya Viumbe vilivyo Huru!

    Yeye ni Askofu ulitaka afanye nini? Aanzishe maandamano au? Kazi yake Ni kusema na wenye kuskia wafanyie kazi neno.. Kama ni mbwa utoke kwenye mnyororo na kama ni mfuga mbwa uanze kuhofia huyo mbwa unaemfungia.
  10. M

    2030 mnyukano kura za Maoni CCM upande wa Urais itakuwa ni Dkt. Mwigulu vs January Makamba

    Huyo Mwigulu anaenda wapi hakuna Rais hapo ni mshenzi mmoja. Bora hata January kidoogo anajua nini siasa. Ila upinzani wanatuchelewesha saana wanashindwaje kujiunga wote kikapatikana chama kimoja imara na kutoa Rais anaejielewa tukabadilisha huu utawala once and for all[emoji57]
  11. M

    Recycling ya viongozi,Rais asilaimiwe idadi ya watanzania ni kubwa sawa na UK na S.Africa ila watanzania wengi hatuna uwezo kichwani

    Aaha wapi uandishi wako haujafanyia Research.. kuna watu wengi sana wenye akili na upeo wa hali ya juu.. Some of them hata shule hawajaenda au la wengine wapo kwenye hizo Office wanakua outshined na hao viongozi in short wanawafanyia kazi na wanaonekana si kitu .. Tanzania bado kuna ukoloni...
  12. M

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Sema nae ni mtoaji mno sana na ni mzee mwenye upendo aliejiweka karibu na jamii hasa kanisani na jumuiya. Mwenye nacho anaongezewa [emoji23][emoji23]
  13. M

    CHADEMA isipopata mtu mwenye nguvu kama Lowassa 2025 itakufa

    Wabunge kupata wanapata ila kwa Rais inabidi waje na sera mpya ya kuwashawishi wananchi. Kiuhalisia serikali mpya inabidi kupatikana ili kuondoa uongozi wa mazoea na nafasi za upendeleo kwa watu wasiokua na taaluma wala kua na uchungu na nchi. Na kuungana vyama vya upinzani na kumsimamisha...
  14. M

    True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom