Mimi pia nakuunga mkono edo ukweli huwa unauma lakini ukiambiwa kama ni mstaarabu lazima uwaze mara mbili .unaweza ukajirekebisha ila kwa nchi zetu kujirekebisha haipo ..wamekuwa wachumia tumbo mpaka kiongozi wa kitaifa kwetu bado huwa anawaza tumbo lake ...
Nyumbu mkuuu watu wanajadili habari za maendeleo ya mkoa mzima wewe unahangaika na siasa ...hivi lisu ndio tanzania? Bila huyo alielazwa tz bado itakuwepo
Ni daraja pamoja na upanuzi wa barabara acheni ushabiki wa kipuuzi namba hii nchi yetu sote kwa nini mnataka utawala ushindwe akishindwa tumrshindwa wote nyumbu nyie
Sasa zitto mbona huyu uliekimbia nae kutoka chadema ameamua kuunga mkono jitihada za mzee magu unataka kutuambia hata huyu katibu wa wizara ya maji nae ni zuzu hajui anachoongea kuwa mzee magu 2020 atapata kura nyingi kutokana na kazi nzuri anayofanya ? Zitto hivi unakuwaje ulianzisha chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.