Recent content by masdinero masproblemas

  1. masdinero masproblemas

    Nigeria wanafanikiwa kwenye Kilimo kwa sababu huwa wanafanya maamuzi Magumu sana

    Mchango wa uchumi sio sawa na bajeti... bajeti ya serikali ni sehemu tu ya uchumi na sio pato zima la taifa. Kuna sekta zina mchango wenye thamani kubwa zaidi ya bajeti ya serikali kwenye uchumi wa nchi!
  2. masdinero masproblemas

    Siku ya Mwisho wa Dunia itakuwaje kwa watakaokua Mars?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. masdinero masproblemas

    Respect yourself

    What's is disrespect or dishonor?
  4. masdinero masproblemas

    Ushauri: Nisaidieni namna Bora ya kutibu tatizo linalomuandama mama yangu

    Inaweza kuwa suala la umri. Kuna matatizo ya ubongo hutokea uzeeni kama alzheimer's ...
  5. masdinero masproblemas

    Matumizi ya Lugha ya Kiarabu kwenye kujifunza dini ya Kiislam ni utumwa wa hadharani

    Mambo yote ya imani ni utumwa... ukishaanza hakuna mwisho. Kuabudu ni utumwa mkubwa zaidi ya hiyo ishu ya lugha. Watoto huko madras wanateseka zaidi kwa ukatili wa vipigo na vitisho, vya hadithi za kaburi baada mauti, moto jehanam, dhambi kubebeshwa wazazi wao na vitisho vingine vya uongo...
  6. masdinero masproblemas

    Respect yourself

    Why should one respect oneself? What does respect even mean?
  7. masdinero masproblemas

    Hizi ndizo sehemu za mwili wa binadamu zenye kasoro kiuumbaji

    Jicho nalo shida sana... anyways evolution inaendelea kwa natural selection sambamba na human interventions. All will get better if given enough time.
  8. masdinero masproblemas

    Sema Neno kuhusu "Biashara ya FOREX"

    Ukisema sio gambling unaanza uongo. Uwekezaji ambao hauna uzalishaji au utoaji huduma na huwezi kukadiria rejesho kwa msingi wa uchumi ni sawa na kubashiri. Kuuza na kununua huko unakosema wengine kwa lugha ngeni huita speculating, which really is gambling... hiyo mikakati(strategies) ya...
  9. masdinero masproblemas

    Sema Neno kuhusu "Biashara ya FOREX"

    Ndio ushangae hapo Mpigadili Tz Kwanini mtu masikini akupe wewe dawa ya kutoka kwenye umasikini? Sio kawaida kwa mtu usiye na mahusiano ya moja kwa moja akupe tu siri ya mafanikio. Inabidi uwe na akili changa kuamini watu ni wema kiasi hicho. Kimsingi, ukielewa anajitanganza na kudili na watu...
  10. masdinero masproblemas

    Sema Neno kuhusu "Biashara ya FOREX"

    Hii biashara imepigwa marufuku kwenye baadhi ya nchi zilizokuwa zinaongoza kutoa taarifa na kuendesha kampuni za uwakala wa masoko ya fedha kama huko Israel. Nashauri yeyote anayetaka kujihusisha huko afanye utafiti wa kutosha na kuelewa sana. Akiona sehemu haelewi au lugha inamkata chenga...
  11. masdinero masproblemas

    Miaka 25 ni mingi sana mtu kuwa bado hujakaa kwenye mfumo kimaisha?

    Nionavyo mimi 25 bado sana. Mawazo hayo kawaida nadhani maana hata mimi niliyapitia nilipofika umri huo. Nilimaliza shahada ya kwanza nikiwa na 23 baada ya miaka mi2 mambo yalikuwa bado hivyo sana ukilinganisha na baadae. Usiwe na mtazamo hasi, piga moyo konde na endelea kupambana. Ukichanga...
  12. masdinero masproblemas

    Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

    Hamna wepesi kaka, tatizo kubwa sana hilo kwenye jamii yetu. Ila nina imani wanawake watachukua usukani na kuwa viongozi mambo ya kujilinda na kuzaa kwa kutegemea tu uwepo wa baba mtoto... bora wazae wakiwa tayari kwa lolote ili mtoto awe na kesho salama na uhakika zaidi.
  13. masdinero masproblemas

    Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

    Kidogo nipasuke kwa kucheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti 'lifatuma kichwani'! Dah.
  14. masdinero masproblemas

    Mshahara wako ni kiasi gani? Unaridhika nao?

    Enough is an illusion. Ni kama kidonge tunameza baada ya kingine kujaza shimo la uzuni ndani ya kila mmoja wetu. Life is depressing, we make up things to make it interesting. One can fight to get to the top to only realize the climb was sweet and inevitably the summit is darkness. What, other...
  15. masdinero masproblemas

    12 Easy Ways To Be Happier

    One thing I hold in highest regard when contemplating about happiness is that it is always a fading thing like all other emotions. Life can be very simple but stressful, existence is the basis for unhappiness. We can chase materials in hope of happiness only for the emotion to instantly slip...
Back
Top Bottom