Suala la kusema mko mbali Hilo Sio sahihi. Nashauri kama kubadilisha mazingira ya mama yenu Pia kunaweza msaidia badla ya kubakia huko kijijini na maeneo jirani. Chukua jukumu la kuishi Naye, naamin itmsaidia, Pia mpeleke hospital, kanisan/msikitini, pia mko naye Muda wote muwe jiran Naye. Muulizen kipi anapenda.. hamkugundua mapema Kuwa upweke ndo umemfanya afikie hapo.Habari wakuu poleni na majukumu mbalimbali ya Kila siku
Mama yanguamekumbwa na tatizo ambalo hata sisi binafsi kama watoto wake tumeshindwa kumuelewa
Labda nianze Kwa kusema mama ni mwathirika wa virusi vya ukimwi Kwa Muda mrefu na amekua akitumia vidonge vya ARVS Kwa Muda mrefu sana. kipindi cha nyuma tulikua tukiishi nae vizuri tu tukiwa wote nyumbani kabla ya sisi watoto wake kutawanyika Kila mmoja kuishi katika mji wake na familia yake (baba yetu alifariki Muda mrefu sana tangu mwaka 1994)
Sasa mnamo mwaka 2018 baada ya sisi watoto kutawanyika nyumbani tulimwacha mwenyewe pale nyumbani na ikawa tunamuhudumia Kwa matumizi ya hapa na pale,ilipofika mwezi wa 11 kuelekea mwezi wa 12 mwaka huo ndipo tatizo hili lilipoanza
Akawa anatuambia wanangu hapa nyumbani naona Kuna watu wanakuja wananifatilia wanataka kuniua Mimi siwaelewi tukawa tuna muuliza ni watu gani hao mbona sisi wakati tunaishi hapo hatukuwai kuwa na tatizo na mtu,akazidi kusisitiza kwamba Mimi siwezi kuendelea kuishi hapa naomba mje mnichukue
Basi dada yetu mkubwa ikabidi apange safari aende akamchukue mana yeye ndiye anaeishi nae karibu zaidi kuliko sisi wengine mana tupo mikoa ya mbali, baada ya kumchukua na kuanza kuishi nae lile tatizo likawa kama limemtoka la kuhisi watu wanamfatilia wanataka wamuue.... Bas ikaenda Kwa Muda kama wa mwaka mmoja hivi akadai anataka aende kijijini kukaa Kwa madai yake kwamba anataka kubadilisha mazingira haikua tatizo
Tukampeleka Kwa mama yetu mdogo nae alisema ngoja nijaribu kuishi nae mana mama mdogo ni mtu wa maombi sana kanisani masaa 24
Yaan tulivyompeleka kule ndo kama tukawa tumeongeza tatizo ikawa Kila Muda tunaambiwa kwamba mama yenu anataka kujinyonga ety amechoka kuishi anaona Kila mtu mbaya kwake Hana Nia njema juu yake ikawa ni kulalamika Kila Leo kwamba mama yenu mdogo ananichukia,mara watoto wake hawanieshimu yaani ikawa taflani
Mpaka kufikia hatua mamdogo kusema mje mumchukue mama yenu Mimi amenishinda inafikia hatua anataka ajinyongee nyumbani kwangu tena mbele ya watoto wangu Mimi Kwa kweli hapana
Dada ikabidi aende akamchukue amrudishe tena nyumbani kwake mana ni mama yetu hatuna namna inabidi tuishi nae hvyo hvyo
Sasa baada ya kumrudisha yaan ndo kama tatizo limezidi kua kubwa zaidi mpaka dada nae ameanza kuhofia juu ya uhai wake mana amekua ni mtu wa kulaumu Kila mtu hamna mtu anaefanya jema kwake imefikia hatua anadai sisi tunapanga njama za kumuua kwanza hatumthamini kitu ambacho sio kweli mbaya zaidi anadai Mimi Bora nife tu Sina nilichobakiza Dunian,wakati mwingine anaongea vitu havieleweki,avielezeki yaan
Amekua ni mtu wa kuwaza tuuuu Muda wote Yani halali usingizi,ni kama mtu mwenye uwoga
Muda mwingine anatukana mpaka watoto wa dada kwamba nao Wana njama za kutaka kumuua,Sasa unajiulizan watoto wadogo hawa akili ya namna hiyo waitolee wapi
Kifupi ni kama mtu aliyechanganyikiwa,analaumu Kila anaemuona mbele yake kwamba ni sababu ya yeye kua hivyo.
Sasa wakuu hii tatizo linaniumiza sana kichwa changu sijui tunafanyaje kutibu hili tatizo.mana kama ni kuombewa ameshaombewa sana tu tangu kule Kwa mamdogo lakini wapi Mambo yamekua magumu
Najiuliza uenda ni issue ya phycology tumtafutie wanasaikolojia wakae nae wazungumze nae sisi tulishaongea nae mara nyingi sana hamna kitu tumeambulia
Sasa ndugu zangu nimeleta kwenu mnishauri nifanyaje kutibu tatizo halilonalo mama angu
Sipendi awe kwenye hali hii inatuchanganya familia nzima hatuelewi la kufanya we are so confused Kwa kweli
Natanguliza shukrani wakuu
Hili ni tatizo pia, lazma ajikubal, ndo maana nasema mbadilishen mazingira, na siku ya dawa mnaenda Naye aendelee kuona na wengine aone kawaida. Beben jukumu Kwa mikono miwil. Endelen kupambnaHataki siku hizi kwenda mwanzon alikua anaenda mwenyewe ila tulipoanza kuona hii hali uwa tunaenda tunamfatia dawa tunamletea nyumban
Hio haina jinsi ni mzazi huyo nendeni nae hivyo hivyo taratibu try counseling her kwa psychologist.Kama ndo kisiran Kwa hiv Sasa kimeongezeka yaan daah mkuu ni hatar
Jamaa kamaliza kila kitu HapaHallucination ni kitu cha kawaida kwa wagonjwa wanaotumia dawa kwa muda mrefu sana ... anaona na kusikia sautu ambazo hazipo.... hasa hizo LSD na baadae atahama stage na kuanza kupoteza kumbukumbu. Ni vyema mkamuona daktari wana weza kuamua kumbadilishia dawa na ushauri mwingine wa kitabibu na kisaikolojia.
Kabla sijamaliza kusoma, kinachomsumbua mama yenu ni msongo wa mawazo na upwekeHabari wakuu poleni na majukumu mbalimbali ya Kila siku
Mama yanguamekumbwa na tatizo ambalo hata sisi binafsi kama watoto wake tumeshindwa kumuelewa
Labda nianze Kwa kusema mama ni mwathirika wa virusi vya ukimwi Kwa Muda mrefu na amekua akitumia vidonge vya ARVS Kwa Muda mrefu sana. kipindi cha nyuma tulikua tukiishi nae vizuri tu tukiwa wote nyumbani kabla ya sisi watoto wake kutawanyika Kila mmoja kuishi katika mji wake na familia yake (baba yetu alifariki Muda mrefu sana tangu mwaka 1994)
Sasa mnamo mwaka 2018 baada ya sisi watoto kutawanyika nyumbani tulimwacha mwenyewe pale nyumbani na ikawa tunamuhudumia Kwa matumizi ya hapa na pale,ilipofika mwezi wa 11 kuelekea mwezi wa 12 mwaka huo ndipo tatizo hili lilipoanza
Akawa anatuambia wanangu hapa nyumbani naona Kuna watu wanakuja wananifatilia wanataka kuniua Mimi siwaelewi tukawa tuna muuliza ni watu gani hao mbona sisi wakati tunaishi hapo hatukuwai kuwa na tatizo na mtu,akazidi kusisitiza kwamba Mimi siwezi kuendelea kuishi hapa naomba mje mnichukue
Basi dada yetu mkubwa ikabidi apange safari aende akamchukue mana yeye ndiye anaeishi nae karibu zaidi kuliko sisi wengine mana tupo mikoa ya mbali, baada ya kumchukua na kuanza kuishi nae lile tatizo likawa kama limemtoka la kuhisi watu wanamfatilia wanataka wamuue.... Bas ikaenda Kwa Muda kama wa mwaka mmoja hivi akadai anataka aende kijijini kukaa Kwa madai yake kwamba anataka kubadilisha mazingira haikua tatizo
Tukampeleka Kwa mama yetu mdogo nae alisema ngoja nijaribu kuishi nae mana mama mdogo ni mtu wa maombi sana kanisani masaa 24
Yaan tulivyompeleka kule ndo kama tukawa tumeongeza tatizo ikawa Kila Muda tunaambiwa kwamba mama yenu anataka kujinyonga ety amechoka kuishi anaona Kila mtu mbaya kwake Hana Nia njema juu yake ikawa ni kulalamika Kila Leo kwamba mama yenu mdogo ananichukia,mara watoto wake hawanieshimu yaani ikawa taflani
Mpaka kufikia hatua mamdogo kusema mje mumchukue mama yenu Mimi amenishinda inafikia hatua anataka ajinyongee nyumbani kwangu tena mbele ya watoto wangu Mimi Kwa kweli hapana
Dada ikabidi aende akamchukue amrudishe tena nyumbani kwake mana ni mama yetu hatuna namna inabidi tuishi nae hvyo hvyo
Sasa baada ya kumrudisha yaan ndo kama tatizo limezidi kua kubwa zaidi mpaka dada nae ameanza kuhofia juu ya uhai wake mana amekua ni mtu wa kulaumu Kila mtu hamna mtu anaefanya jema kwake imefikia hatua anadai sisi tunapanga njama za kumuua kwanza hatumthamini kitu ambacho sio kweli mbaya zaidi anadai Mimi Bora nife tu Sina nilichobakiza Dunian,wakati mwingine anaongea vitu havieleweki,avielezeki yaan
Amekua ni mtu wa kuwaza tuuuu Muda wote Yani halali usingizi,ni kama mtu mwenye uwoga
Muda mwingine anatukana mpaka watoto wa dada kwamba nao Wana njama za kutaka kumuua,Sasa unajiulizan watoto wadogo hawa akili ya namna hiyo waitolee wapi
Kifupi ni kama mtu aliyechanganyikiwa,analaumu Kila anaemuona mbele yake kwamba ni sababu ya yeye kua hivyo.
Sasa wakuu hii tatizo linaniumiza sana kichwa changu sijui tunafanyaje kutibu hili tatizo.mana kama ni kuombewa ameshaombewa sana tu tangu kule Kwa mamdogo lakini wapi Mambo yamekua magumu
Najiuliza uenda ni issue ya phycology tumtafutie wanasaikolojia wakae nae wazungumze nae sisi tulishaongea nae mara nyingi sana hamna kitu tumeambulia
Sasa ndugu zangu nimeleta kwenu mnishauri nifanyaje kutibu tatizo halilonalo mama angu
Sipendi awe kwenye hali hii inatuchanganya familia nzima hatuelewi la kufanya we are so confused Kwa kweli
Natanguliza shukrani wakuu
Shukrani mkuu Kwa ushauri huu ubarikiweMuwe nae karibu huyo, shida yake ni kuchangamana na watu, mumpigishe mastori ya hapa na pale apate kufurahi na nyinyi vyenginevyo mtamlisha midawa bure. Anatachohitaji ni ukaribu na upendo wa wanawe maana mzee kamuacha kitambo mnoo
Inawezekana mana naiyona live Kwa mama yangu mzazi inatuvuruga sana tunakosa amani yaan make yeye anahisi kama sisi tunamtenga kitu ambacho sio kweliNasikiaga mtu muathirika wa HIV huwa vitu vinapanda kichwani anakua kama chizi sio mzima, muda wote ni makasiriko, muda wote anaona anaonewa hasira nk sijui virus anaharibu brain au ni madawa anayotumia ila sina uhakika maana sijafanyie tafiti ya kisayansi
Pole kwa kuuguza,Habari wakuu poleni na majukumu mbalimbali ya Kila siku
Mama yanguamekumbwa na tatizo ambalo hata sisi binafsi kama watoto wake tumeshindwa kumuelewa
Labda nianze Kwa kusema mama ni mwathirika wa virusi vya ukimwi Kwa Muda mrefu na amekua akitumia vidonge vya ARVS Kwa Muda mrefu sana. kipindi cha nyuma tulikua tukiishi nae vizuri tu tukiwa wote nyumbani kabla ya sisi watoto wake kutawanyika Kila mmoja kuishi katika mji wake na familia yake (baba yetu alifariki Muda mrefu sana tangu mwaka 1994)
Sasa mnamo mwaka 2018 baada ya sisi watoto kutawanyika nyumbani tulimwacha mwenyewe pale nyumbani na ikawa tunamuhudumia Kwa matumizi ya hapa na pale,ilipofika mwezi wa 11 kuelekea mwezi wa 12 mwaka huo ndipo tatizo hili lilipoanza
Akawa anatuambia wanangu hapa nyumbani naona Kuna watu wanakuja wananifatilia wanataka kuniua Mimi siwaelewi tukawa tuna muuliza ni watu gani hao mbona sisi wakati tunaishi hapo hatukuwai kuwa na tatizo na mtu,akazidi kusisitiza kwamba Mimi siwezi kuendelea kuishi hapa naomba mje mnichukue
Basi dada yetu mkubwa ikabidi apange safari aende akamchukue mana yeye ndiye anaeishi nae karibu zaidi kuliko sisi wengine mana tupo mikoa ya mbali, baada ya kumchukua na kuanza kuishi nae lile tatizo likawa kama limemtoka la kuhisi watu wanamfatilia wanataka wamuue.... Bas ikaenda Kwa Muda kama wa mwaka mmoja hivi akadai anataka aende kijijini kukaa Kwa madai yake kwamba anataka kubadilisha mazingira haikua tatizo
Tukampeleka Kwa mama yetu mdogo nae alisema ngoja nijaribu kuishi nae mana mama mdogo ni mtu wa maombi sana kanisani masaa 24
Yaan tulivyompeleka kule ndo kama tukawa tumeongeza tatizo ikawa Kila Muda tunaambiwa kwamba mama yenu anataka kujinyonga ety amechoka kuishi anaona Kila mtu mbaya kwake Hana Nia njema juu yake ikawa ni kulalamika Kila Leo kwamba mama yenu mdogo ananichukia,mara watoto wake hawanieshimu yaani ikawa taflani
Mpaka kufikia hatua mamdogo kusema mje mumchukue mama yenu Mimi amenishinda inafikia hatua anataka ajinyongee nyumbani kwangu tena mbele ya watoto wangu Mimi Kwa kweli hapana
Dada ikabidi aende akamchukue amrudishe tena nyumbani kwake mana ni mama yetu hatuna namna inabidi tuishi nae hvyo hvyo
Sasa baada ya kumrudisha yaan ndo kama tatizo limezidi kua kubwa zaidi mpaka dada nae ameanza kuhofia juu ya uhai wake mana amekua ni mtu wa kulaumu Kila mtu hamna mtu anaefanya jema kwake imefikia hatua anadai sisi tunapanga njama za kumuua kwanza hatumthamini kitu ambacho sio kweli mbaya zaidi anadai Mimi Bora nife tu Sina nilichobakiza Dunian,wakati mwingine anaongea vitu havieleweki,avielezeki yaan
Amekua ni mtu wa kuwaza tuuuu Muda wote Yani halali usingizi,ni kama mtu mwenye uwoga
Muda mwingine anatukana mpaka watoto wa dada kwamba nao Wana njama za kutaka kumuua,Sasa unajiulizan watoto wadogo hawa akili ya namna hiyo waitolee wapi
Kifupi ni kama mtu aliyechanganyikiwa,analaumu Kila anaemuona mbele yake kwamba ni sababu ya yeye kua hivyo.
Sasa wakuu hii tatizo linaniumiza sana kichwa changu sijui tunafanyaje kutibu hili tatizo.mana kama ni kuombewa ameshaombewa sana tu tangu kule Kwa mamdogo lakini wapi Mambo yamekua magumu
Najiuliza uenda ni issue ya phycology tumtafutie wanasaikolojia wakae nae wazungumze nae sisi tulishaongea nae mara nyingi sana hamna kitu tumeambulia
Sasa ndugu zangu nimeleta kwenu mnishauri nifanyaje kutibu tatizo halilonalo mama angu
Sipendi awe kwenye hali hii inatuchanganya familia nzima hatuelewi la kufanya we are so confused Kwa kweli
Natanguliza shukrani wakuu
Hivyo vidonge alitakiwa apewe kwa nguvu au kwa Siri hata kwenye juisi ilimuradi muhakikishe anatumia hizo dawa huwa zinawapa usingizi wanapata muda wa kupumzika, mpaka anapona.Alishapelekwa akapewa vidonge alipofika nyumbani akavitupa anadai yeye Hana tatizo la akili,yeye sio kichaa
Kule kwa mamamdogo kulikuwa sehemu sahihi sana endapo mamamdogo angechukua jukumu la kumshirikisha kanisani muda wote awapo huko ili naye azoeane na kujenga urafiki na watu wengine. Kanisani angesali, kuimba(muhimu katika kutuliza na kuburudusha akili) na angeshiriki kwenye shughuri za kinamama.Habari wakuu poleni na majukumu mbalimbali ya Kila siku
Mama yanguamekumbwa na tatizo ambalo hata sisi binafsi kama watoto wake tumeshindwa kumuelewa
Labda nianze Kwa kusema mama ni mwathirika wa virusi vya ukimwi Kwa Muda mrefu na amekua akitumia vidonge vya ARVS Kwa Muda mrefu sana. kipindi cha nyuma tulikua tukiishi nae vizuri tu tukiwa wote nyumbani kabla ya sisi watoto wake kutawanyika Kila mmoja kuishi katika mji wake na familia yake (baba yetu alifariki Muda mrefu sana tangu mwaka 1994)
Sasa mnamo mwaka 2018 baada ya sisi watoto kutawanyika nyumbani tulimwacha mwenyewe pale nyumbani na ikawa tunamuhudumia Kwa matumizi ya hapa na pale,ilipofika mwezi wa 11 kuelekea mwezi wa 12 mwaka huo ndipo tatizo hili lilipoanza
Akawa anatuambia wanangu hapa nyumbani naona Kuna watu wanakuja wananifatilia wanataka kuniua Mimi siwaelewi tukawa tuna muuliza ni watu gani hao mbona sisi wakati tunaishi hapo hatukuwai kuwa na tatizo na mtu,akazidi kusisitiza kwamba Mimi siwezi kuendelea kuishi hapa naomba mje mnichukue
Basi dada yetu mkubwa ikabidi apange safari aende akamchukue mana yeye ndiye anaeishi nae karibu zaidi kuliko sisi wengine mana tupo mikoa ya mbali, baada ya kumchukua na kuanza kuishi nae lile tatizo likawa kama limemtoka la kuhisi watu wanamfatilia wanataka wamuue.... Bas ikaenda Kwa Muda kama wa mwaka mmoja hivi akadai anataka aende kijijini kukaa Kwa madai yake kwamba anataka kubadilisha mazingira haikua tatizo
Tukampeleka Kwa mama yetu mdogo nae alisema ngoja nijaribu kuishi nae mana mama mdogo ni mtu wa maombi sana kanisani masaa 24
Yaan tulivyompeleka kule ndo kama tukawa tumeongeza tatizo ikawa Kila Muda tunaambiwa kwamba mama yenu anataka kujinyonga ety amechoka kuishi anaona Kila mtu mbaya kwake Hana Nia njema juu yake ikawa ni kulalamika Kila Leo kwamba mama yenu mdogo ananichukia,mara watoto wake hawanieshimu yaani ikawa taflani
Mpaka kufikia hatua mamdogo kusema mje mumchukue mama yenu Mimi amenishinda inafikia hatua anataka ajinyongee nyumbani kwangu tena mbele ya watoto wangu Mimi Kwa kweli hapana
Dada ikabidi aende akamchukue amrudishe tena nyumbani kwake mana ni mama yetu hatuna namna inabidi tuishi nae hvyo hvyo
Sasa baada ya kumrudisha yaan ndo kama tatizo limezidi kua kubwa zaidi mpaka dada nae ameanza kuhofia juu ya uhai wake mana amekua ni mtu wa kulaumu Kila mtu hamna mtu anaefanya jema kwake imefikia hatua anadai sisi tunapanga njama za kumuua kwanza hatumthamini kitu ambacho sio kweli mbaya zaidi anadai Mimi Bora nife tu Sina nilichobakiza Dunian,wakati mwingine anaongea vitu havieleweki,avielezeki yaan
Amekua ni mtu wa kuwaza tuuuu Muda wote Yani halali usingizi,ni kama mtu mwenye uwoga
Muda mwingine anatukana mpaka watoto wa dada kwamba nao Wana njama za kutaka kumuua,Sasa unajiulizan watoto wadogo hawa akili ya namna hiyo waitolee wapi
Kifupi ni kama mtu aliyechanganyikiwa,analaumu Kila anaemuona mbele yake kwamba ni sababu ya yeye kua hivyo.
Sasa wakuu hii tatizo linaniumiza sana kichwa changu sijui tunafanyaje kutibu hili tatizo.mana kama ni kuombewa ameshaombewa sana tu tangu kule Kwa mamdogo lakini wapi Mambo yamekua magumu
Najiuliza uenda ni issue ya phycology tumtafutie wanasaikolojia wakae nae wazungumze nae sisi tulishaongea nae mara nyingi sana hamna kitu tumeambulia
Sasa ndugu zangu nimeleta kwenu mnishauri nifanyaje kutibu tatizo halilonalo mama angu
Sipendi awe kwenye hali hii inatuchanganya familia nzima hatuelewi la kufanya we are so confused Kwa kweli
Natanguliza shukrani wakuu
Hyo n side effect ya Matumizi ya ARVHabari wakuu poleni na majukumu mbalimbali ya Kila siku