Recent content by masasi

  1. M

    Wafanyakazi: JK Hahitaji kura zetu

    analo mwaka huu
  2. M

    GE2010 Nani kama Jakaya Kikwete kwa maendeleo?

    bajaj 400 kwa wajawazito
  3. M

    GE2010 CCM kwa hili tusilaumiane

    hapo ni typing error,ni yeye jk akiwa arusha amtembelee hicho kiburudisho kigonjwa
  4. M

    GE2010 CCM kwa hili tusilaumiane

    Tulipeana onyo kuhusu kutoingiza maisha binafsi ya mtu na kampeni za uchaguzi wa mwaka huu ktk ngazi yoyote ile,tulitoa rai pia hata kwa vyombo vya habari vyenye mtazamo wa kuandika maisha binafsi ya watu waache mara moja,inaonekana huu ni mkakati maalumu wa chama hiki kizee na hata wizara...
  5. M

    GE2010 Kumbe EPA iliombwa na KIKWETE and LOWASSA!

    Nimefurahia ujasiri wa Marando na mungu aendelee kumtia nguvu kwenye kusema ukweli na fitina kwake ziendelee kuwa mwiko kwake,sasa watanzania wamefahamu kwanini JK amekuwa akimlilia Lowasa tangu alipoachishwa kwa aibu uwaziri mkuu kwa kashfa ya richmond,kumbe wote wanaunganishwa na kashfa ya...
  6. M

    GE2010 Matusi au 'tuhuma' katika kampeni?

    Na anapaswa kuwaeleza watanzania juu ya nafasi yake ktk kumiliki bandari kavu iliyopo pale kamata inayoitwa shariff na wakati waliwafukuza watu kwa kisingizio cha kujenga stand ya mabasi yaendayo kasi,
  7. M

    GE2010 Matusi au 'tuhuma' katika kampeni?

    Nimeshangaa kumwona kinana akijaribu kuleta propaganda baada ya kuzungumza ukweli,anadai dr slaa na marando wanawapotosha watanzania kwa kuwataja kwa majina wahusika wakuu wa sakata la epa,nani ni mgeni wa kashfa ya epa?anajaribu kuficha nini na kwa maslahi ya nani?uadilifu wake upo wapi?ni...
  8. M

    GE2010 WAMA ni Chama cha Siasa?

    Huyu mama wa kampeni za shuka kwa shuka ana matazizo sana,siku zao zinahesabika
  9. M

    GE2010 Kukatishwa Kwa Matangazo Jangwani: Tido Mhando Alonga

    ililkuwa kama zile sinema za akina rambo na waigizaji wengine,tbc kwa kile cha kulinda maslahi ya wakubwa wakaamua kukatiisha kurusha matangazo kwa sababu mabere marando alikuwa akifichua ufisadi wa kikwete,watu walishindwa kuzuia hasira zao na kuanza hata kmtupia makopo ya maji mtangazaji na...
  10. M

    Law Professor Jwani Mwaikusa: Martyr for truth at the International Criminal Tribuna

    weka mambo kama yale ya ze utamu,watkuwa tayari kutumia pesa kuwalipa fbi,cia,mosaid,kgb wakutafute hadi wakufukue kwenye pango ulilojificha
  11. M

    GE2010 Hofu ya kushindwa imemfanya JK kuanza na gia ya rafu kubwa?

    kuongeza mishahara kimyakimya kusogeza mbele ufunguzi wa vyuo kununua makada wa vyama vya upinzani kupandikiza wagombea kwenye vyama vya upinzani
  12. M

    GE2010 CUF wazindua kampeni 2010

    ccm b
  13. M

    Kikwete ni mnyongaji mkuu

    KATIKA MOJA YA KAMPENI ZAKE KIKWETE ALIDAI KUWA KTK UTAWALA WAKE HAJAWAHI KUTOA RUHUSA YA KUNYONGWA KWA MTU YEYOTE KAMA SEHEMU YA KUJINASIBU KWENYE KAMPENI ZAKE,KIKWETE KWANGU NI MNYONGAJI MKUBWA SANA,MIKATABA YA HOVYO INAYOWATESA WATANZANIA CHINI YA UTAWALA WAKE SIO UNYONGAJI?KUWAKUMBATIA...
  14. M

    GE2010 Baraza la habari lakemea ukiukwaji maadili kwa waandishi

    TAIFA TANZANIA LEO HALIJATOKA NA YOTE HAYO NI KWAMBA GAZETI HALIUZIKI MTAANI TOKANA NA HABARI ZAO ZA KIDAKU:mad2::mad2::mad2::mad2::mad2:
  15. M

    GE2010 Lo! Mama Salma na kampeni za shuka kwa shuka!

    Ubongo na mawazo yao yanafikiria nonino tu alizosema sophia simba
Back
Top Bottom