Hiyo yote ni dhanna, huna uhakika na msimamo wangu, laiti ungekuwa unasoma article zangu nahisi kidogo ungeelewa nini msimamo wangu... Bahati mbaya sipo hapa kuwapendezesha watu...pole sana.msimamo wako mbona unajulikana siku nyingi sana --- kumsaidia Kikwete kuifilisi Tanzania.
Aliuzungumzia Duni haji kwa juu juu tu na Saidi Miraji wakati akimwaga sifa za Prof nje na ndani ya nchi
Mbona na wewe uliuliza kwa nini chadema wanazindua kesho, ulikuwa unatafuta nini huko?
Hiyo yote ni dhanna, huna uhakika na msimamo wangu, laiti ungekuwa unasoma article zangu nahisi kidogo ungeelewa nini msimamo wangu... Bahati mbaya sipo hapa kuwapendezesha watu...pole sana.
huyo huyo aliyeumbwa kwa maniii.Una maana yule marehemu naniiiii !
.ha ha ha Senator umemmaliza kabisa
Mie sikuuliza bali niliunganisha kama alivyouliza swali Rev kuonyesha kwamba na waislamu wakiuliza swali hilo je kesho kwa Chadema tutafika? Sidhani kuuliza maswali kama haya yanatusaidia kitu sisi watanzania huku vijijini zaidi ya kuzidisha tu machungu ya njaa zetu
.
Hajanimaliza ila ni muungwana kwa wageni ndio utamaduni wetu watanzania na Afrika kwa ujumla. Hata wewe siku ya kwanza si ulikuwa mgeni walikuumbua?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! haaa
hakuna aliyeanguka jukwaani naamini Lipumba alikuwa yupo kwenye swaumu pale...Walizungumza wakiwa kwenye afya zao njema...sikusikkia aiseeeeeeeeeeeeeee
if that is the case ... then ... why did you do it?
chadema mwingine huyo!!! si nilikuambia. Hiyo ni siku moja kabla ya uzinduzi wa kampeni ya chadema. subiri kesho atapost huyo.Fikra mgando badala ya kufikiria kujenga hoja wewe unawazia kubomoa mtandao mtakaliaga hayo hayo milele.
Because Rev Masanilo ask it as well this case you should ask him or her that question
:becky::becky:Kwenye majukwaa ya kisiasa ukitumie neno aiseee utaeleweka zaidi kwamba hali yako ni mbaya so wapambe watasogea karibu yako!Hivi kuuliza si ujinga ukitaka kuzimia siku hizi neno la kusema ni aiseeeee!!!!! au niseme nataka kuzimia jamani!!! nitaeleweka na jamii kwamba hali yangu mbaya
ccm na cuf ni vyama vya kidini --- ile dini na naniliiii ... nani yule? yule naniliiii
chadema mwingine huyo!!! si nilikuambia. Hiyo ni siku moja kabla ya uzinduzi wa kampeni ya chadema. subiri kesho atapost huyo.
:becky::becky:Kwenye majukwaa ya kisiasa ukitumie neno aiseee utaeleweka zaidi kwamba hali yako ni mbaya so wapambe watasogea karibu yako!
Nasubiri gazeti la Al Jihad litakavyo pamba na mapicha ukurasa wa kwanza! CUF watingisha jiji kwenye kampeni baada ya kutoka kwenye swalaa Ijumat.