Recent content by Masasaa

  1. Masasaa

    Maji kupungua kwenye rejeta, engine 1 NZ

    Weka collant kwa sababu boiling point yake iko juu ya boiling point ya maji ndio maana huwa coolant inachelewa kuisha kwenye rejeta. Na kama unatumia maji tumia haya maji ya kunywa ya chupa badala ya maji ya bomba, maji ya chupa yana chembe chembe chache za kutu kuliko maji ya bomba
  2. Masasaa

    Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Hiyo ni ajali kama ajali zingine, na pengine imetokana na uzembe wa dereva wa bus kutokuzingatia kivuko au dereva wa treni kutokuwasha taa kubwa za mbele au kupiga honi, na napata ajabu sana kwa jinsi pale palivyo peupe dereva unapataje ajali
  3. Masasaa

    Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Yaani sample ya mabus mawili inakufanya uconclude kweli, be serious brother, usafiri wa usiku ni salama sana kuliko wa mchana na unasaidia kutunza chombo cha usafiri pamoja na matairi, ishu za dereva mmoja mmoja au mmiliki mmoja mmoja zisitufanye tufute safari za usiku
  4. Masasaa

    Kariakoo, Upanga na Posta wana nchi yao nyingine kabisa

    Sasa hilo pipa anapandia wapi? Si anapita vingunguti huyu?
  5. Masasaa

    Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

    Ndio period yako ya kwanza, au,?
  6. Masasaa

    CRDB hii sio haki kabisa

    Na wewe kwa nini hukutumia wakala? Au kujihamishja hela kwenye simupesa yako?
  7. Masasaa

    Leo nimeshuhudia ajali ya bodaboda mpaka nimetetemeka

    Hata hii ya kibo ubungo nasikia voda ndio chanzo
  8. Masasaa

    Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

    Hizo.ni hesabu za wanasiasa 2 + 2, miwil kabla ya uchaguzi na miwili baada, hata hivyo hongera kwa mama, barabara ya handeni singida ni mihimu sana kwa ustawi wa nandari ya tanga, na nina imani baada ya barabara hiyo kuisha Dp World wataitaka na port ya Tanga. Tunahitaji pia barabara ya mtwara...
  9. Masasaa

    Ujenzi Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) mkoani Mwanza wafikia asilimia 75

    Hilo daraja ni mujimu.sana, watu wa dec, burundi na rwanda watapita hapo watakapokuwa wanatoka na kwenda mombasa, maana hiyo njia itakuwa short cut sana, badala ya kupitia uganda
  10. Masasaa

    Fountain Gate yainunua Singida Big Stars. Klabu hiyo sasa kuitwa Singida Fountain Gate Footbal Club

    Habari mbona haijakamilika, wamwinumua bei gani?
  11. Masasaa

    Mchambuzi: Angekuwa ni Nabi Simba isingefika kwenye matuta

    Mbona jana kashindwa kuifunga rivers
  12. Masasaa

    Naomba ushauri: Gari zuri ila lina KM nyingi

    Hizo mbona chache sana, chukua gari hiyo, km sio ishu, angalia mambo mengine. Mimi nina gari niliinunua ikiwa na 210,000 km 7 yrs ago, leo ina 480,000km na inapiga safari kama kawaida na engine sijawahi kuiguza
  13. Masasaa

    Hii tabia ya kukarabati barabara muda mrefu ni kero sana

    Kuna wale wanakwangua lami halacu wanahitaji miezi minne kuweka lami upya, angalia barabara ya chalinze mlandizi
  14. Masasaa

    Nahitaji Mkopo

    Kama una biashara yoyote na dhamana nenda Brac
  15. Masasaa

    FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa staili hii simba ataambulia point moja, draw na timu ya uganda kwa mkapa, mechi zingine zote atapigwa
Back
Top Bottom