Hii ndio tz, wanfikir swala la madawa ya kulevya ni swala Dogo, tuchukue Marekani Kama Mfano(anateseka Sana juu ya hili janga dhidi ya Mexico) anzeni na vigogo Kama mnawajua kwan kuwajua watumiaji syo hoja. Mfano Chid Benz Yule ni mgonjwa na anahitj msaada wa haraka. Tuthibiti chanzo na c...
We ni mkurya wa wapi? Kama si mkurya kaa kimya? Hata hawa wa mjini IE. Kitunda, kisewe (dar) na sehemu nyingne nyingi ukikosea unaadhibiwa au we unaongelea mini ipo?! . Na we sema ni kabila gani ili tukuchekeche coz mkisikia wakurya kila mtu anibuka na lake.
Kila dawa zina madhala yake japo siyo zote, so kuwa specific ili usaidiwe@@@dawa tofauti+++magonjwa tofauti@@@@+mwaka mzima, lazima uzitaje ili upewe madhala yake Vema.
Wakuu kunuka mdomo kuna mechanism nyingi.
1. Kula vyakula vyenye starch nyingi hupelekea mdomo kutoa harufu
2. Kutokuwa makini wakati wa kufanya usaf ndan ya kinywa chako
3. Magonjwa mbalimbali yanayosumbua turbo na kimya IE. Respiratory diseases, lung disorders
4. Pombe, hapa walevi inabidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.