Je hakuna madhara kiafya, kiakili, ubongo au kimwiliana become addicted(drugs dependance individual) yaan anakuwa hawezi kupita ck bila kutumia hyo dawa hatakama haumwi.
Hiyo ni kwa baadhi ya dawa na si kwa dawa zote.ana become addicted(drugs dependance individual) yaan anakuwa hawezi kupita ck bila kutumia hyo dawa hatakama haumwi.
NAUNGA MKONO HOJA YA HUYU JAMAA.Inabidi kula sana vyakula vya kudetox kupunguza sumu mwilini
baadhi ya dawa zinaweza kukuletea halusination,changes of mood etc,Nashukuru kwa majibu yenu.Je hakuna athari kwenye ubongo
Hakuna dawa nzuri sana,kama inaua vimelea vya magonjwa Ina maana ni sumu.ushauri ni kujiepusha na maradhi ya mara kwa mara,zingatia kanuni za afya,tumia nets,chemsha maji ya kunywa,usile hovyo,usafi nk. Hivyo hutahitaji dawa kila mara.Wakuu heshima zenu,
Kuna madhara gani mtu anaweza kupata kwa kunywa dawa tofauti tofauti kwa mda mrefu, yaani mfano ndani ya mwaka mzima.Dawa zenyewe ni za magonjwa tofauti tofauti kwa kipindi chote hicho.
Mawazo yenu, na utaalamu wenu unahitajika
Kila dawa zina madhala yake japo siyo zote, so kuwa specific ili usaidiwe@@@dawa tofauti+++magonjwa tofauti@@@@+mwaka mzima, lazima uzitaje ili upewe madhala yake Vema.Wakuu heshima zenu,
Kuna madhara gani mtu anaweza kupata kwa kunywa dawa tofauti tofauti kwa mda mrefu, yaani mfano ndani ya mwaka mzima.Dawa zenyewe ni za magonjwa tofauti tofauti kwa kipindi chote hicho.
Mawazo yenu, na utaalamu wenu unahitajika
sio kila dawa inamadharaKuwa specific, ni dawa umeandikiwa hosp au unajinunulia tuu??? Dawa zote zina madhara ukizitumia bila maelekezo na kama ni dawa umepewa na dr basi uwa wanajua baada ya muda fulani inabd wakubadilishie dose au wakupe aina tofauti, antibiotics zinaua kinga ya mwili na baadhi ya pain killers zinaathiri ini sio vizuri kutumia muda mrefu, na kuna sawa zingine zinasababisha addiction hivyo wasiliana na dr wako na uwe unamweleza kila badiliko unaloliona wakati wote.