MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Mimi nilichaguliwa mwaka huu kusoma diploma but sijaenda kwa sababu sina karo nimeenda ofisi za NACTE ili wanitoe kwenye orodha ya wanafunzi waliochaguliwa 2016/2017 ili niapply upya mwaka huu wa masomo 2017/18 lakini nimejibiwa majibu ya kisiasa eti niwasiliane na chuo ndoo kinitoe kwenye system hii ni kweli ???? Au hawa watumishi wa nacte majibu yao yakoje? Sina pesa ya nauli ya kunipeleka kwenda kwenye chuo nilichochaguliwa nifanyeje jamani?