Recent content by masaka kwetu

  1. M

    Tatizo nini Clouds FM, Radio Free & Star TV?

    Hata mm nina cku ya pili no star tv! Hadi mida hii nimeamua kuangalia tuu channel ten ! Sina namna.
  2. M

    Uko tayari kulipa shilingi ngapi kama tozo ya kuona kaburi la Magufuli pale Chato?

    Hivi wewe ndo umejuwa leo. Hiyo inaeleweka tokea mwanzo. Pia na ule upande wa pili.
  3. M

    Nikimtizama Askofu Gwajima naona kitu hiki...

    Na imani wakikutana Paschal mayala wa 2007 na pascal mayala wa 2021 , watazipiga ngumi hadi basi. na mwamuzi atakuwa admin wa Jamii forum.
  4. M

    Kama Taifa limekubali chanjo ndio maslahi ya Taifa, Viongozi wote wanakuwa Bind na A Collective Responsibility Clause. Must support, Shut up or quit!

    Kwa hiyo ndugu una maanisha Paschal mayala kwa sasa anakisaliti kimvuli chake?? Yaani unamaanisha kuwa Paschal anakikana kata kata kuwa kimvule chake cha miaka ya 2007 hadi 2015 hakikuwa cha kwake??. Kwa hiyo ndugu una maanisha Paschal alienda kwa mganga wake wa kisukumu kupiga ramli na kisha...
  5. M

    ZIARA: Waziri wa TEHAMA wa Rwanda, Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL

    Kubalini pale mnapokosea ili mjirekebishe! Acheni ujuaji. Hamtafika mbali kwa Staili ya kila kitu mnajuwa nyie wafànyakazi.
  6. M

    Msemaji wa Lipuli analipwa laki tisa, Haji analamba laki saba hivi ni haki hii?

    Suala la kukamatwa kwa mbowe na la huyo manara ni Mkakati wa kututoa kwenye kodi ya uzalendo. Achaneni nao hao! Let's back to our mainstream topic.
  7. M

    Nimetazama dakika 45 ya Mhe. Mwigulu Nchemba -Waziri wa Fedha jana jumatatu nimemuelewa katika haya

    Naomba unijibu! ni kwa nini kwenye line za simu tuu( makampuni ya simu ) ndo kodi ya uzalendo ilipo! na Cyo kwenye mabenki??. Na kama kweli ni uzalendo, kwa nini mawaziri, makatibu, wa RPC, na wengineo wasitembelee magari ya 120mil na kwenye ngazi za mikoa na wilaya wawe below 60mil ?? Kwani...
  8. M

    Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

    Mwambieni waanze kwanza kamati kuu ya chadema, pia na wajumbe wote wa mkutano mkuu wa chadema! Baada ya hapo wachanjwe mashabiki wao wote, akiwemo na gentamycine.
  9. M

    Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

    Huyo naye ni wakala wa hao wajamaa wa wenye dawa. Yaani yeye press conference yake yeyote ni lazima aongelee chanjo..
  10. M

    Rais Samia kabambikiwa sakata la Mwanza?

    Wewe kama umetumwa na wenzako ili utuamishe mawazo yetu! Waambie kwa sasa Cyo agenda hiyo. Kawaambie makato hayo ni madogo sana!! Waambie waongezee tuu , ila TZ hatuami. Matajiri wanaoweka na kutoa pesa benki; wao hawajaguswa na kodi ya uzalendo. Ila masikini wa vishilingi mia mbili vya kina...
  11. M

    Kwa lawama anazopewa Hayati Magufuli na Antony Diallo wa Sahara Media ni wazi CCM ya 2015 - 2021 ina Dhambi za Dhuluma

    Soma kifungu chako cha pili kutoka kifungu cha mwisho ndo utajuwa ni wapi ulipoingiza ushabiki . Pia ilibidi utuambie antony dialo ni nani , na aliwahi kuwa nani ktkt nchi hii, utuambie ktk kazi zake ktkt nchi hii ni scandal gani mbaya au nzuri alizozifanya ktk nchi hii, utuambie ni heshima ipi...
  12. M

    Kwa lawama anazopewa Hayati Magufuli na Antony Diallo wa Sahara Media ni wazi CCM ya 2015 - 2021 ina Dhambi za Dhuluma

    Huwa napenda sana kusoma post zako! Na huwa kuna vitu najifunza sana kupitia wewe gentamycine. Ila naomba nikuambie kwa post yako ya leo umeenda sana wrong na umeiyandika kiuchochezi. Kuwa makini sana kiongozi kwa post zako . Watu wataanza kukuzarau kwa post zako! Kama yule mwamba pascal...
  13. M

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Ww kisaikolojia hauko vizuri!!. Jombaa Unaitaji counciling ..
Back
Top Bottom