Ivi ni yupi anawapenda washabiki wake? Kati ya kiba na mondi?
Instagram ya kiba hajawai kum follow mtu ata moja! Ana dharau mpk Meneja wake! Mpz wake na jaa zake wote!
Mondi !! amewa follow zaidi watu! 600 ! Nani zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm Nina kiwanja kipo Mbagala charambe kituo kwa mbiku!!!
Urf ft 45
Upana 45
Tayari ina msingi wa kujenga nyumba kubwa
Umeme upo umbali wa kitu cha magari ni mita 200 ! Kutoka rangi 3 mpaka hapo nauli 500 tu ! Kwa Noah! Tayari ina tofali 1000 na Mchanga lory nzima ! 7:5 tu!
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.