Kwanini wanandoa wa kiafrika sio romantic

Kwanini wanandoa wa kiafrika sio romantic

kuwa 'romantic' hakuhakikishi kuwa ndoa hiyo itadumu maana kuna baadhi hata ya wanawake ukijifanya kumfungulia mlango wa gari au nyumba anakushangaa na anaweza kukukataza kabisa!
na ukijifanya kuanza now si ajabu atahisi unajaribu kumduwaza ili umfiche madhambi yako.. "to each his/her own"
 
Hapa Afrika kesho yako huijui hiyo ramantic itatoka wapi mkuu???!
 
Waafrica tunafundishwa kumuogopa mwanaume,kumtii na kumsikiliza kwa kila kitu !!
Huruhusiwi kumpinga wala kumkosoa
Wanaume wanafundishwa kua wanawake ni chombo tu cha starehe na kuzalishwa!
Usimfanye Kua rafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu panua miguu huko!!(Kwa sauti na sura ya mwanaume wa ki Afrika wakati wa tendo!)
 
Wengine sijui lini waliwakiss wake zao. Utakuta mume kaingia moja kwa moja kwenye kochi, akishasema za jion basi kamaliza. Kweli wanaume wengi hampo romantic
 
Ndoa za nyumbani fake tu no romance Wala Nini. Ulitaka romance ni michepuko tu no baadae unazingua kwa kupiga mizinga bila aibu. In general wanaume tunashida nyingi.
 
aisee ngoja niongeze ramantic, naanza kufua nguo pamoja na kupika pamoja na mke,, alafu nisikie mseme limbwata,

n0 r0se with0ut th0rn
 
Back
Top Bottom