TV yenye king'amuzi ndani!

TV yenye king'amuzi ndani!

mimi ni muuzaji wa tv boss tv zenye free channel unaweka antena au dish unapata local channel za ndan na baadhi za nje hapo labda urudi dukan wakupe maelekezo vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wanajamvi!

Samahanini nina tatizo au shida kidogo imenitokea hapa!

Juzi nilinunua TV (Samsung flat screen) wakaniambia ina king'amuzi ndani na wakaitest palepale na kweli channel nyingi tuu zikaonyesha!

Sasa nimefika huku mpaka sasa nahangaika tuu channel zipo lakin hazionyeshi! Nimemuita fundi nae ameshinda hapa toka asubuhi anatengeneza lakini hakuna mabadiliko!

Naombeni msaada wenu, shida itakua nini? Maana nimeweka mpaka antenna lakini channel bado hazionyeshi!

Shukrani!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabisa siyo kwamba ulidanganya ni kweli Tv nyingi LED zina inbuilt decoder.
Kama ulininunia town itakuwa walitumia indoor antena ikanasa ila kama uko pembezoni mwa mji tumia antena ya nje sawa na ile ya star times ielekee huko huko ambapo antena za startimes zinaelekea then waya unaotoka kwenye antena u plug moja kwa moja kwenye tv.
Ingia sertings tafuta digital tv then search. Itakamata channel nyingi lakini zitakazoonyesha hazifiki 25, nyingine zitakuwa scrambled unless siku hiyo mitambo ya continental iwe ina matatizo utaona channel zao zote.
 
Hata mm yalishanikuta. Chamsingi nunua king'amuzi. Yangu haionyesh mpk leo.......nunua king'amuzi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa siyo kwamba ulidanganya ni kweli Tv nyingi LED zina inbuilt decoder.
Kama ulininunia town itakuwa walitumia indoor antena ikanasa ila kama uko pembezoni mwa mji tumia antena ya nje sawa na ile ya star times ielekee huko huko ambapo antena za startimes zinaelekea then waya unaotoka kwenye antena u plug moja kwa moja kwenye tv.
Ingia sertings tafuta digital tv then search. Itakamata channel nyingi lakini zitakazoonyesha hazifiki 25, nyingine zitakuwa scrambled unless siku hiyo mitambo ya continental iwe ina matatizo utaona channel zao zote.
Mkuu kwani continental ndo huwa wanarusha??

Kumkoma nyani geladi
 
Inawezekana tv zenye vingamuzi ndani zinafanya kazi maeneo yamjini namaeneneo yaliyo karibu namji kama ww unakaa kijijini inaweza isishike chanel tafuta dishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani continental ndo huwa wanarusha??

Kumkoma nyani geladi
Hapana ila kuna sometimes sijui mitambo yao inazingua channel zao ambazo zinakuwa scrambled zote zinafunguka unajikuta una channels hata 40+ ghafla
 
Inawezekana tv zenye vingamuzi ndani zinafanya kazi maeneo yamjini namaeneneo yaliyo karibu namji kama ww unakaa kijijini inaweza isishike chanel tafuta dishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama startimes ya antena inashika hiyo tv itashika yani fanya kuchomoa antena kwenye startimes ichomeke kwenye tv bila kubadili uelekeo wa antena
 
Hapana ila kuna sometimes sijui mitambo yao inazingua channel zao ambazo zinakuwa scrambled zote zinafunguka unajikuta una channels hata 40+ ghafla
Sasa nani ambae anarusha izo chanel zinazoshikwa na izo tv

Kumkoma nyani geladi
 
Habarini wanajamvi!

Samahanini nina tatizo au shida kidogo imenitokea hapa!

Juzi nilinunua TV (Samsung flat screen) wakaniambia ina king'amuzi ndani na wakaitest palepale na kweli channel nyingi tuu zikaonyesha!

Sasa nimefika huku mpaka sasa nahangaika tuu channel zipo lakin hazionyeshi! Nimemuita fundi nae ameshinda hapa toka asubuhi anatengeneza lakini hakuna mabadiliko!

Naombeni msaada wenu, shida itakua nini? Maana nimeweka mpaka antenna lakini channel bado hazionyeshi!

Shukrani!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo dekoda ulivyoiona inafanana na channels za dekoda gani??
1) Azam, StarTimes, Digitek, Continental au za Nje?? Kuna kadi ya kuingiza kwenye TV yako ambayo ndio utakayotumia kuonea hicho king'amuzi?? Je ni channels za bure au za kulipia??

2) Vipi kama alikutestia kwa kadi yake yeye aliyolipia kisha akaichomoa hivyo unapaswa nawe kununu na/au kulipia ya kwako??

3) Wakati anakutestia mitambo ukaona, alitumia waya au cable ya aina gani?? alikuambia ni wa antenna au unaelekea wapi huo waya?? isije ikawa alikutestia zile channels zilizoko kwenye wale wenye "Cable TV" ukadhani ni ni "inbuilt" dekoda

3)
 
Sasa nani ambae anarusha izo chanel zinazoshikwa na izo tv

Kumkoma nyani geladi
Kuna channel za free to air.
Yani kuna channel ambazo siyo za kulipia ni bure tu unakamata ndiyo maana kwa hiyo inbuilt decoder utakamata hata channel za nje kama arirang ya korea, nhk ya japan, kuna channel saudia2, kuna channel nyingi nyingi tu.
Zamani ulikuwa unakamata na channel za ting sema walipogundua wakazipiga pin.
Mfano utamu wake bi kwamba kwa tv kama lg ukitumia inbuilt decoder quality yake ni nzuri sana kuliko hata azam hdmi.
Halafu unaweza pause kipindi kwa tv unaweza rewind kama hujaskia kitu au kinekupita as long as kwenye tv umepachika external hdd
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom