kwel kabisa huyo jamaa einstein nahisi mungu alimpa uwez wa kipekee kuliko wa karne ile nd mana akafanya vitu mpka leo hawajafanya utafiti kwel akasome nakala zake.....he is very geneous man never happen in ze word of creative thinking....
dahhh yan kuna wengine wanajua kusema tyu inabd na wao waende darasani nd watajua ni nyepesi au ngumu kupata hizo grade dah....eee MOLA tuokoe na hili pito...
ninamashaka na ww sizani kma ulifika huku A-level ungefika nd ungejua au ww ulisoma shule za pesa nyingii nn sio wote wenye huwez mkubwa wengn wamesm kwa jitihda zao kutokn na mashule mngn ya serikal walimu kutokuudhuria vpnd ww nenda shule za serikal nd utajua km hz zina faida au.......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.