hata hiyo 3 badoni nyingi kuna ufisadimkubwa sana hapoSiooo $300million. Ni $3 million na Kampuni iliyopewa Ni Norplan. Naomba tusipotoshe wananchi.
mkuuu labda hiyo picha inachukua adi ndani ya nyumba au hadi ndan ya udongo....1280×720 resolution, hahah
USD 300,000,000* Tshs. 2200= Tshs. 660,000,000,000/=Watatumia dola million 300 kupiga picha ya angani?
Wakati wa Ruksa CCM ilifungua matawi mpaka visiwa vya Sicily humo Italia. JK yeye aliyatangaza kabisa. Lukuvi ni Mtume wa kikundi kinachojihusisha na mkondo wa hao na ndiyo waliomfanikishia Ubunge na Uwaziri baada ya kumtuma kulipa pesa kwa wavamizi wa barabara ambao genge halikutaka wajulikane ni wavamizi wabughudhiwe kwa sababu kulikuwa na familia ya MARAFIKI WA MARAFIKIHammjui Lukuvi. Wakati Waziriwa Ujenzi Jiohn Magufuli amekataza waliojenga ndaniya hifadhi ya barabara Kilwa Road Lukuvi akatoa pesa za Mkoa akaenda kuwalipa marafiki zake Kongowe. Akapanda ngazi kutoka ukuu wa mkoa hadi ubunge na uwaziri. Fadhiriķeni hizo mtakutana nazo katika hizi bil. 600/ zinazosemwa.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app